Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Tutayaongea haya limeisha hilo huenda kuna pahala nikiwaomba wakuu unaweza tufaa ,note sina uwezo wa kukusaidia manake mimi ni mtu wa chini sana hapo ila naweza wasahaur wakufikirie usije inbox kila kitu tutabonga hapa hapaHongera mkuu maaana tunajifunza, wengine tunawaz bora tusingekula gamba la PETROLEUM CHEMISTRY
Basic Security Course
Inanipaga kibunda big match odd ya 2 uhakikaKuna course ya post and and crossbars inatolewa na 1x ni nzuri sana
jifunze yafutayon utakuja kunishukuru;
1. Boda boda
2. kuuza juice
3. udalali.
4. ufundi gereji
Nipe chaneli hio mkuu tujenge maishaTutayaongea haya limeisha hilo huenda kuna pahala nikiwaomba wakuu unaweza tufaa ,note sina uwezo wa kukusaidia manake mimi ni mtu wa chini sana hapo ila naweza wasahaur wakufikirie usije inbox kila kitu tutabonga hapa hapa
Hii ya office machines inachukua muda gani?Veta Kasome Office Machines
Ama AC And Refrigerator
Mkuu umelamba shavu mgodini niniHapana, unaweza ukawa artisan, technician au engineer na ukasoma tu bila shida. Kikubwa tu uwe na basic ya ufundi hasa wa magari katika angle yoyote ile iwe makenika au umeme.
Wana Course Fupi Na Ndefu Hapo Chang'ombeHii ya office machines inachukua muda gani?
Kama unadeal na research iwe ni kwa mashirika au unawaandikia tu research raia ambao huko vyuoni inawapa shida wao kuandika basi itakufaaWakuu ivi Short course ya Data analysis SPSS STATA RA inamashiko kweli msaada kwa mjuzi
Eeh mkuu wanapokea unataka kwenda upgrade amaVipi NIT wanapokea watu wenye leseni namba D
Dah nina gamba la wildlife mkuu nadhani halinifai mkuuKama unadeal na research iwe ni kwa mashirika au unawaandikia tu research raia ambao huko vyuoni inawapa shida wao kuandika basi itakufaa
Ukiwa na gamba tu zuri la social sciences au Health sciences + masters(sio lazima ila muhimu) basi inakufaa hiyo course
Ndo kozi gani hii mkuuCCNP R&S
Eeh mkuu wanapokea unataka kwenda upgrade ama
Huko pia fresh maana tafiti kama zote cha msingi jilipue halafu anza kutafuta opportunityDah nina gamba la wildlife mkuu nadhani halinifai mkuu