Short Notice ya Malawi yaleta hasara kubwa kwa wafanyabiashara Tanzania

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,833
Reaction score
27,753
Mfanyabiashara ameshatoa mzigo shambani ama yuko mpakani au yuko njiani kisha anakutana na notice ya kutoingia Malawi

Kwanini wasitoe notice hata ya wiki mbili au mwezi mmoja?

Waziri wetu Hussein Bashe ametoa notice ya wiki moja kwa wafanyabiashara wa Malawi na Africa Kusini kuwa hawataruhusiwa kuingiza mazao yao wala kutumia ardhi ya Tanzania kuvusha mazao yao kwenda nchi nyengine

Ifike mahali watu wawe waugwana, Malawi walipata majanga ya njaa huwa tunawasaidia sana mahindi nk.

1. V8 zitaanza kumiminika Mpakani Kasumulu kwa ajili ufuatiliaji.

2. Maafisa wengine watoke Dodoma waende Dar kufanya Kikao na Balozi wa Malawi siku 5.

3. Kikosi kazi (Wajumbe 5 Tanzania bara, 5 kutoka Zanzibar) wasafiri kwenda Lilongwe kuzungumza na Waziri wa Kilimo wa Malawi).
 
MALAWI KUTOA SHORT NOTICE YA KUZUIA WAFANYA BIASHARA WA TANZANIA KUINGIZA MAZAO YAO YA BIASHARA NI DHULMA NA DHARAU KWA TANZANIA

MFANYABIASHARA AMESHATOA MZIGO SHAMBANI AMA YUKO MPAKANI AU YUKO NJIANI KISHA ANAKUTANA NA NOTICE YA KUTOINGIA MALAWI

KWANINI WASITOE NOTICE HATA YA WIKI MBILI AU MWEZI MMOJA?
WAZIRI WETU HUSSEIN BASHE AMETOA NOTICE YA WIKI MOJA KWA WAFANYABIASHARA WA MALAWI NA AFRICA KUSINI KUA HAWATARUHUSIWA KUINGIZA MAZAO YAO WALA KUTUMIA ARDHI YA TANZANIA KUVUSHA MAZAO YAO KWENDA NCHI NYENGINE

IFIKE MAHALI WATU WAWE WAUGWANA,MALAWI WALIPATA MAJANGA YA NJAA HUWA TUNAWASAIDIA SANA MAHINDI NK

View attachment 3310922
Kila kilaza wa Samia anasingizia mikopo!
 
kiukweli, it is very unfair, kama mnafunga mipaka, toeni notice ya kueleweka ili wafanyabiashara wasile hasara, sasa nani atamlipa huyo mfanyabiashara hasara aliyokula?
Unaweza kukuta Malawi walifanya hivi kwa sababu kuna kitu tuliwafanyizia, haya mambo bwana ausiyaangalie juu juu
 
wamelima mazao mengi, na ili kulinda soko la mazao yao ya ndani, wameamua kufunga mipaka mazao ya nje yasiingie, ila njaa ikiuma wanafungua. wafanyabiashara wetu wameumia sana. ujasusi wa kiuchumi bongo tunalea sana watu.
 
1. V8 zitaanza kumiminika Mpakani Kasumulu kwa ajili ufuatiliaji.

2. Maafisa wengine watoke Dodoma waende Dar kufanya Kikao na Balozi wa Malawi siku 5.

3. Kikosi kazi (Wajumbe 5 Tanzania bara, 5 kutoka Zanzibar) wasafiri kwenda Lilongwe kuzungumza na Waziri wa Kilimo wa Malawi).
Ndio maana watu wanang'ang'ania vyeo vya siasa hadi kudhuru watu.
 
MALAWI KUTOA SHORT NOTICE YA KUZUIA WAFANYA BIASHARA WA TANZANIA KUINGIZA MAZAO YAO YA BIASHARA NI DHULMA NA DHARAU KWA TANZANIA

MFANYABIASHARA AMESHATOA MZIGO SHAMBANI AMA YUKO MPAKANI AU YUKO NJIANI KISHA ANAKUTANA NA NOTICE YA KUTOINGIA MALAWI

KWANINI WASITOE NOTICE HATA YA WIKI MBILI AU MWEZI MMOJA?
WAZIRI WETU HUSSEIN BASHE AMETOA NOTICE YA WIKI MOJA KWA WAFANYABIASHARA WA MALAWI NA AFRICA KUSINI KUA HAWATARUHUSIWA KUINGIZA MAZAO YAO WALA KUTUMIA ARDHI YA TANZANIA KUVUSHA MAZAO YAO KWENDA NCHI NYENGINE

IFIKE MAHALI WATU WAWE WAUGWANA,MALAWI WALIPATA MAJANGA YA NJAA HUWA TUNAWASAIDIA SANA MAHINDI NK

View attachment 3310922
Peleka kiwandani hapo mbeya mjini faida nusu italudi
 
Ujasusi wa kiuchumi Tanzania BADO MNO. Ni uchawa tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tatizo lipo litafutiwe ufumbuzi. Ili wengine wasipate hasara kama hizo.
 
Back
Top Bottom