Kila kilaza wa Samia anasingizia mikopo!MALAWI KUTOA SHORT NOTICE YA KUZUIA WAFANYA BIASHARA WA TANZANIA KUINGIZA MAZAO YAO YA BIASHARA NI DHULMA NA DHARAU KWA TANZANIA
MFANYABIASHARA AMESHATOA MZIGO SHAMBANI AMA YUKO MPAKANI AU YUKO NJIANI KISHA ANAKUTANA NA NOTICE YA KUTOINGIA MALAWI
KWANINI WASITOE NOTICE HATA YA WIKI MBILI AU MWEZI MMOJA?
WAZIRI WETU HUSSEIN BASHE AMETOA NOTICE YA WIKI MOJA KWA WAFANYABIASHARA WA MALAWI NA AFRICA KUSINI KUA HAWATARUHUSIWA KUINGIZA MAZAO YAO WALA KUTUMIA ARDHI YA TANZANIA KUVUSHA MAZAO YAO KWENDA NCHI NYENGINE
IFIKE MAHALI WATU WAWE WAUGWANA,MALAWI WALIPATA MAJANGA YA NJAA HUWA TUNAWASAIDIA SANA MAHINDI NK
View attachment 3310922
Unaweza kukuta Malawi walifanya hivi kwa sababu kuna kitu tuliwafanyizia, haya mambo bwana ausiyaangalie juu juukiukweli, it is very unfair, kama mnafunga mipaka, toeni notice ya kueleweka ili wafanyabiashara wasile hasara, sasa nani atamlipa huyo mfanyabiashara hasara aliyokula?
wamelima mazao mengi, na ili kulinda soko la mazao yao ya ndani, wameamua kufunga mipaka mazao ya nje yasiingie, ila njaa ikiuma wanafungua. wafanyabiashara wetu wameumia sana. ujasusi wa kiuchumi bongo tunalea sana watu.Unaweza kukuta Malawi walifanya hivi kwa sababu kuna kitu tuliwafanyizia, haya mambo bwana ausiyaangalie juu juu
Tupe ubunifu wako mbinu ambayo ingemsaidia huyo mfanyabiashara asipate hasara.Watanganyika siyo Wabunifu
Ndio maana watu wanang'ang'ania vyeo vya siasa hadi kudhuru watu.1. V8 zitaanza kumiminika Mpakani Kasumulu kwa ajili ufuatiliaji.
2. Maafisa wengine watoke Dodoma waende Dar kufanya Kikao na Balozi wa Malawi siku 5.
3. Kikosi kazi (Wajumbe 5 Tanzania bara, 5 kutoka Zanzibar) wasafiri kwenda Lilongwe kuzungumza na Waziri wa Kilimo wa Malawi).
Peleka kiwandani hapo mbeya mjini faida nusu italudiMALAWI KUTOA SHORT NOTICE YA KUZUIA WAFANYA BIASHARA WA TANZANIA KUINGIZA MAZAO YAO YA BIASHARA NI DHULMA NA DHARAU KWA TANZANIA
MFANYABIASHARA AMESHATOA MZIGO SHAMBANI AMA YUKO MPAKANI AU YUKO NJIANI KISHA ANAKUTANA NA NOTICE YA KUTOINGIA MALAWI
KWANINI WASITOE NOTICE HATA YA WIKI MBILI AU MWEZI MMOJA?
WAZIRI WETU HUSSEIN BASHE AMETOA NOTICE YA WIKI MOJA KWA WAFANYABIASHARA WA MALAWI NA AFRICA KUSINI KUA HAWATARUHUSIWA KUINGIZA MAZAO YAO WALA KUTUMIA ARDHI YA TANZANIA KUVUSHA MAZAO YAO KWENDA NCHI NYENGINE
IFIKE MAHALI WATU WAWE WAUGWANA,MALAWI WALIPATA MAJANGA YA NJAA HUWA TUNAWASAIDIA SANA MAHINDI NK
View attachment 3310922
Soko la nini?Kwani soko liko Malawi tu ? ....mbona soko liko kubwaa sanaa....nchi jiranii??
Magufuli alichambwa sana na huyu Mama na Machawa mara alikuwa katili,aliharibu uhusiano na uchumi wao ndo wanajua uchumi!Mama anaupiga mwingi