Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 hivi kisungura kikoje?Mzinga wote wa nini piga kisungura hiyo haina kuangukia mgongo unapigiza uso😂unakua na sigda flan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 hivi kisungura kikoje?Mzinga wote wa nini piga kisungura hiyo haina kuangukia mgongo unapigiza uso😂unakua na sigda flan
Dah nyie watoto wa ushuani bn! Inauzwa buku 2 sema hata buku wanakupimia oyaaa kama unawahi sehemu gonga kidogo 😁😁Haina kuyumba yumba inakuongezea speed ya kukimbia mbele🤣🤣🤣 hivi kisungura kikoje?
🤣🤣🤣 huyo anazingua toka jana mimi nilikuwa namchora tu.Sio kataka, ni haijui kwelii huyoo.
Unadhani hata yuko Msata? Yuko Ghettoni kwake akishiba chips zege na Pepsi, anaota yuko ndani ya kombati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
😂😂😂 ndio zile wakinywa wanavimba mwili mzima? Pombe za bei chee nyingi majangaDah nyie watoto wa ushuani bn! Inauzwa buku 2 sema hata buku wanakupimia oyaaa kama unawahi sehemu gonga kidogo 😁😁Haina kuyumba yumba inakuongezea speed ya kukimbia mbele
La kujifunza limejaa funza kwerikweri na kasema anafundishaShort story nimesoma na kuimaliza nikiwa na dicloper hapa. Na hapa "majuorner yaan wadogo wale ndio sinior" ndio pameniongezea Maumivu. Well Short Story nzuri Kuna lakujifunza kama ulivyosema.😥
Apana aisee mi pombe mpaka niwe na mzuka nayo sana lkn hv hv sigusi hata mwaka mzima ila Kuna mda kiu flan hv inakujaga😂😂😂 ndio zile wakinywa wanavimba mwili mzima? Pombe za bei chee nyingi majanga
🤣🤣 Huyu hata kama akiwa sinior akipewa seksheni mnapigwa kama kuku🤣🤣La kujifunza limejaa funza kwerikweri na kasema anafundisha
atakua anafundisha ufaiza foxy huko shuleni ndugu yetu Mwachi
Alikuwa anawatetea policcm kwenye ishu ya maslahi, atakuwa yuko huko.Wewe upo jeshi lipi? Ulipita vipi?
Basi jeshi siku hizi limechoka km watu aina yako nao wamejiunga nalo.. 😹😹
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatafuta umaarufu kwa nguvu mdogo angu,Mdogo wako ana vituko sana!!
Kwanza yeye hivyo alivyo ataliweza jeshi?
Hiyo mujibu tu miezi 3 asingefika wangezika huko huko makamanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi kwakweli na mambo ya jeshi kukomaa sura na nyuchi hapana, nilikataa..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anadhanii huko kambini watu hatujaendaa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo anazingua toka jana mimi nilikuwa namchora tu.
Mara yuko kambini sasa sijui kambi ipi inaruhusu kuruta kutumia simu [emoji81][emoji81][emoji81]
Darasa la sabaKwa uzoefu wangu mdogo wa hizi habari jamaa Kwa sasa ni soldier kwenye kikosi flani Cha bakabaka na si mwalimu ila shida ni Moja ana ilmu ndogo ya D 2
Ahhah😂😂😂 usinitafute maneno bro winga.!
Huyo Mwachi itakuwa yupo kwenye mafunzo ya mgambo anamix na jeshi…
Jeshini wangemrudisha siku ya kwanza pale pale getini 😹
92kj niijue mimiMtu hata haijui Ngere ngere, afu anasema yuko Msata anapiga jalambaa kupambania Kitengee.
C bora hata mie, miez 3 ya mujibu, nimetoka na kituu.
Mwachiii anachekeshaa hatariiii. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijiwe kimepoa🤣🤣🤣 Kanichekesha kweli eti haijui ngerengere, huyu kataka kuchangamsha kijiwe
Khaaa nimeshiba ugali dona bhna na togwsSio kataka, ni haijui kwelii huyoo.
Unadhani hata yuko Msata? Yuko Ghettoni kwake akishiba chips zege na Pepsi, anaota yuko ndani ya kombati.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Mimi naemda nipo njian naenda msataMdogo wako ana vituko sana!!
Kwanza yeye hivyo alivyo ataliweza jeshi?
Hiyo mujibu tu miezi 3 asingefika wangezika huko huko makamanda 🤣🤣🤣
Mimi kwakweli na mambo ya jeshi kukomaa sura na nyuchi hapana, nilikataa..!
Bafo hatujapokonywa bhna🤣🤣🤣 huyo anazingua toka jana mimi nilikuwa namchora tu.
Mara yuko kambini sasa sijui kambi ipi inaruhusu kuruta kutumia simu 😹😹😹
Ukisikia hizi kauli jua huyu ni wewe.Mdogo wako ana vituko sana!!
Kwanza yeye hivyo alivyo ataliweza jeshi?
Hiyo mujibu tu miezi 3 asingefika wangezika huko huko makamanda 🤣🤣🤣
Mimi kwakweli na mambo ya jeshi kukomaa sura na nyuchi hapana, nilikataa..!