Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

Dawa ni kuto kwenda uwanjani...
Na kila atakapoonekana tunamzomea.
tukifanikisha hayo mwenyewe atakung'uta ****** yake na kurudi brazil kwao akaendelee kuchoma chapati.
 
Mzirai toka maximo aingie hoja ni hiyo tu kumpinga basi

hapa hata mimi napingana na wewe...mimi nimeanza kumpinga maximo toka anashuka airport kwa kigezo cha "NINI MAFANIKIO YAKE HUKO ALIKOTOKA???"..Mziray anaonekana kumpinga maximo kwa sababu kuu 2- ni kocha wa kizawa na ana haki ya kuhoji maslahi ya taifa na 2- anayo access ya media..ana makala katika gazeti la michezo nchini..ni mdau wa soka

KWANINI MAXIMO ANAPINGWA.....mafanikio ya kocha yanapimwa kwa vitu vikuu viwili..1-makombe na ubingwa timu yake ilochikua, au fainali ambazo timu anayofundisha imefikia....sijawahi kuona kocha duniani anasifiwa kwa 1- Timu ina nidhamu, 2- timu inacheza mpira mzuri lakini inafungwa kila mechi....

UTETEZI WA MAXIMO...anasema anahitaji muda wa kuandaa timu toka kwa vijana then ndio apate timu kali...aseme ni miaka mingapi anahitaji? maana sahivi tayari ameshakula miaka mi4...na pia anajua sehemu gani duniani timu ilianzishwa ikiwa na makinda tupu ... wachezaji wazuri hawaitwi kisa nidhamu...je Paul Gascoine Gaza wa uingereza alikuwa na nidhamu???...mbona alikuwa ndio tegemeo la timu ya taifa....romario wa brazil alikuwa na nidhamu?..ronaldinho gaucho anayo nidhamu???...maximo na watetezi wake hapa hawana hoja ya msingi....TIMU YAKO IKIFUNGWA NDO ULIE??? kipa lazima uwe mrefu???...ni kweli kaseja ndio kipa mfupi kuliko wote duniani...mbona kuna makipa warefu sana duniani kina dida wa brazili lakini vimeo hata kaseja mzuri...

HITIMISHO...maximo upeo wake wa kufundisha soka ni mdogo na umefikia ukomo..tunahitaji kocha mpya na sio lazma awe mziray...mziray aendelee kuwakosoa kila wanapokosea na asinyamazishwe kirahisi hivyo.
 
KAMA maximo anataka nidhamu ..AANZISHE SHULE YA NIDHAMU NA AWE MWALIMU WA NIDHAMU.....sie tunataka TIMU INAYOSHINDA MECHI NA KULETA VIKOMBE....full stop
 
maximo meshafikia kikomo hana jipya tena katika soka la Tanzania.

Kulinda hishma yake bora afunge virago aondoke.
 
Inavyoelekea Tanzania tunatatizo la goalkeeper tu eeh?hata akija kudaka Pepe reina kama tim ni mbov ni mbovu tu. Kumbukeni Shmaiko, alikua keeper bora duniani lakini dernmark ilikua inapigwa kila siku.tim siyo goalkeepre, tim ni wachezaji 11 uwanjani.
 
Dawa ni kuto kwenda uwanjani...
Na kila atakapoonekana tunamzomea.
tukifanikisha hayo mwenyewe atakung'uta ****** yake na kurudi brazil kwao akaendelee kuchoma chapati.

BABAAAA...Hapa hasusii mtu kuangalia mpira...ila kwa jinsi anavyotuboa huyu maximo dawa yake ni MAWE NA MAKOPO YA MAJI YA KINYEJI kila timu yetu itapocheza chini ya kiwango....huyu babu wa ki-brazil naona hatujui vizuri..

Na serikali inajisahau..SERIKALI NI NANI??? kati ya maximo na watzania 40mill nani zaidi??...bwana tesha yeye anakula/au ananufaika na uwepo wa mkataba wa maximo
 
hapa hata mimi napingana na wewe...mimi nimeanza kumpinga maximo toka anashuka airport kwa kigezo cha "NINI MAFANIKIO YAKE HUKO ALIKOTOKA???"..Mziray anaonekana kumpinga maximo kwa sababu kuu 2- ni kocha wa kizawa na ana haki ya kuhoji maslahi ya taifa na 2- anayo access ya media..ana makala katika gazeti la michezo nchini..ni mdau wa soka

KWANINI MAXIMO ANAPINGWA.....mafanikio ya kocha yanapimwa kwa vitu vikuu viwili..1-makombe na ubingwa timu yake ilochikua, au fainali ambazo timu anayofundisha imefikia....sijawahi kuona kocha duniani anasifiwa kwa 1- Timu ina nidhamu, 2- timu inacheza mpira mzuri lakini inafungwa kila mechi....

UTETEZI WA MAXIMO...anasema anahitaji muda wa kuandaa timu toka kwa vijana then ndio apate timu kali...aseme ni miaka mingapi anahitaji? maana sahivi tayari ameshakula miaka mi4...na pia anajua sehemu gani duniani timu ilianzishwa ikiwa na makinda tupu ... wachezaji wazuri hawaitwi kisa nidhamu...je Paul Gascoine Gaza wa uingereza alikuwa na nidhamu???...mbona alikuwa ndio tegemeo la timu ya taifa....romario wa brazil alikuwa na nidhamu?..ronaldinho gaucho anayo nidhamu???...maximo na watetezi wake hapa hawana hoja ya msingi....TIMU YAKO IKIFUNGWA NDO ULIE??? kipa lazima uwe mrefu???...ni kweli kaseja ndio kipa mfupi kuliko wote duniani...mbona kuna makipa warefu sana duniani kina dida wa brazili lakini vimeo hata kaseja mzuri...

HITIMISHO...maximo upeo wake wa kufundisha soka ni mdogo na umefikia ukomo..tunahitaji kocha mpya na sio lazma awe mziray...mziray aendelee kuwakosoa kila wanapokosea na asinyamazishwe kirahisi hivyo.

Umenenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Huyu makisimo siju mashimo anatufanya wapumbavu, mara aseme eti Kaseja mfupi lakini baada ya Kaseja kuprove kuwa ufipi si hoja akaja na kuwa eti hana nidhamu. Sasa Mapunda akifungwa magoli ya kizembe Kaseja hatakiwi kutoa maoni> Wadu tuisusie timu ya taifa waende tu uwanjani wanao mteteta
 
Kabla Maximo timu ilikuwa wapi???na yangapi kidunia??Si Maximo ndo at least kaipandiasha timu, kwani Mziray alikuwa wapi????Au sio Tanzania, timu ilikuwa KICHWA CHA MWENDAWAZIMU???Kweli masikini akipata ****** hulia mbwataaa na kusahau alikotoka......Tambarareeeeeeeeeee.
 
Kwani sasa hivi iko wapi? na ni ya ngapi. Timu kushindaji vimichezo vya kirafiki ambavyo wapinzania wenu hawavipi umuhimu mnajisifu? Timu lishindwa hata kwenda fainali za Mataifa ya afrika ikiwa kwenye kundi la vibonde kama Mauritius na Cape Vede nayo unaita timu? Ndani ya miaka minne kila akichagua timu anachagua wapya wapi duniani ulishawahi kuona hilo?
NB: Kuwa mzima siyo kujilinganisha na mgonjwa zaidi ukajiona wewe ati ni bukheri wa afya.
 
Hebu mlio karibu na TFF mtuambie ni kigezo gani mnachopima kwa kocha Marcio Maximo cha kumfanya aendelee kuwa Kocha wa Timu ambayo mpaka sasa imeshindwa kuwa na kikosi cha kwanza na chenye mafanikio? Mapungufu yake ninavyoyafahamu mimi ni haya yafuatayo:
1. Akipeleka Taifa Stars kwenye mechi za kirafiki mara nyingi huwa anachagua timu ambazo ni weak, ukiacha The Pharaoh ya Misri ambayo imetuaibisha vya kutosha, ili ionekane kuwa timu inafanya vizuri, haya ni mafanikio feki!
2. Kikosi anachokiandaa mara nyingi sicho anachokitumia kwenye mechi!
3. Hashauriki, tena ni mtu wa visasi! Kwa mfano: Kaseja pamoja na ubora wake wote akiwa golini, Maximo ameshindwa kumsamehe mapungufu aliyokuwa nayo na ameshikilia msimamo uleule wa kumkwepa, at any cost, etc, etc...!
Huyu kocha kiburi chake inaonekana kinatoka matawi ya juu, lakini umefika wakati wa kuhakikisha ameachia ngazi hata kama ajira yake hatima yake iko kwa Mkulu! Issue ni kwamba ataondokaje? Na kama akiondoka atakuja kocha ambaye kweli atatutoa tongotongo kwenye soka ili angalau tuache kuwa kichwa cha mwenda wazimu jamani?
JK juzi aliongelea shule za michezo, lakini angalau ionekane juhudi sasa hivi ya kuinoa timu yetu ili iweze angalau kushiriki mashindano makubwa ya kimataifa, kama vile CAF, FIFA Finals etc!
 
Acheni ukurumbizi huwo, kwanini msilaumu uwezo mdogo wa wachezaji wenu ambao hawafundishiki, vifuu tundu, hawafahamu. Kwanini mnakuwa watovu wa shukurani, ni wakati wa Maximo angalau Tanzania imeona 'profeshino' wawili wa tatu. Na halafu, si Maximo mwenyewe alipomaliza mkataba wake alitaka kuondoka kwanini muanze kupiga mbiu kama vile yeye anang'ang'ania, kwa lipi? Si TFF wenyewe waliomlazimisha abakie...mbona mnakuwa watovu wa hisani jamani!!!!!!!!!
 
acheni ukurumbizi huwo, kwanini msilaumu uwezo mdogo wa wachezaji wenu ambao hawafundishiki, vifuu tundu, hawafahamu. Kwanini mnakuwa watovu wa shukurani, ni wakati wa maximo angalau tanzania imeona 'profeshino' wawili wa tatu. Na halafu, si maximo mwenyewe alipomaliza mkataba wake alitaka kuondoka kwanini muanze kupiga mbiu kama vile yeye anang'ang'ania, kwa lipi? Si tff wenyewe waliomlazimisha abakie...mbona mnakuwa watovu wa hisani jamani!!!!!!!!!

hisani ipi???
Anafanya kazi bure kwani?
Analipwa,so kama haturidhiki aende....
Tatizo baadhi ya watu mnafikiri
yeye maximo ameshushwa kutoka mbinguni..
Upuuzi mtupu.
Aliyoyafanya yanatosha,sasa tunahitaji mtu mwingine...
Hiyo kazi sio hisani.
 
Inawezekana uwezo mdogo pia unachangia lakini km na yeye anaona uwezo ni mdogo kwanini asiiachie hiyo timu anasubiri kufukuzwa. Alimtimua Haruna Moshi lakini ndiyo huyo amesajiliwa Sweden, Kaseja ndio huyo anafanya vizuri mwaka jana Yanga na mwaka huu Simba. Maximo amefika mwisho
 
Acheni ukurumbizi huwo, kwanini msilaumu uwezo mdogo wa wachezaji wenu ambao hawafundishiki, vifuu tundu, hawafahamu. Kwanini mnakuwa watovu wa shukurani, ni wakati wa Maximo angalau Tanzania imeona 'profeshino' wawili wa tatu. Na halafu, si Maximo mwenyewe alipomaliza mkataba wake alitaka kuondoka kwanini muanze kupiga mbiu kama vile yeye anang'ang'ania, kwa lipi? Si TFF wenyewe waliomlazimisha abakie...mbona mnakuwa watovu wa hisani jamani!!!!!!!!!
kaka umesahau kusema kitu kimoja, mpira sio kocha tu, mpira ni program nzima ya nchi. Mambo tunayobidi tujiulize je ligi zetu zinakidhi mpira wa kisasa?, kuanzia ligi kuu mpaka ligi za chini tukichukulia mfano wa nchi zilizo endelea kisoka.
Kuna program gani ya tim za vijana?je wachezaji ambao Maximo anao sasa wametokea katika Youth program?
Vilabu vinamchango gani katika kukuza wachezaji wadogo?
Jamani mpira si kitu kidogo mpira ni process, mkimuona KAKA au Messi msidhani kaibuka tu, wale wamelelewa waka leleka. Sasa sisi tunataka eti Aruna Moshi Boban ghafla awe kama Kaka, hio HALIWEZEKANI KAMWE.
 
The B,
Hisani ya kuja kufundisha soka katika nchi yenye kiwango kibovu cha soka kwa malipo karibu na bure kwa kocha anaetoka taifa lenye hadhi na heshima kubwa ya soka
 
Acheni ukurumbizi huwo, kwanini msilaumu uwezo mdogo wa wachezaji wenu ambao hawafundishiki, vifuu tundu, hawafahamu. Kwanini mnakuwa watovu wa shukurani, ni wakati wa Maximo angalau Tanzania imeona 'profeshino' wawili wa tatu.

Nasikitika wewe ni msahaulifu kidogo. Kama ni habari ya professionals tulishakuwa nao: Km Njohole na wengineo. Maximo alichofanikiwa sana ni kuwafanya wachezaji kutalii nchi nyingi zaidi na kuwa na maisha nafuu. Lakini tuje uwanjani: Tulishakuwa na mafanikio makubwa zaidi kwa makocha wa kizawa tena kwa maandalizi hafifu ambayo huwezi kufananisha na maandalizi ya Maximo ambayo wachezaji sasa wanafahamu mandhari ya Kempiski na Hoteli nyinginezo za kifahari, yakoje! Pia udhamini unaofanywa sasa hivi kwa Taifa Staaz ni ya kufa mtu lakini matunda kidogo! Kwa mtaji huu mafanikio ni ya kimaandalizi na sio uwezo wa mwalimu uwanjani! Huo uwezo mdogo wa wachezaji ni matunda ya mwalimu mbovu!
 
Back
Top Bottom