Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
........Hivi nani anaikumbuka timu ya USHIRIKA MOSHI.
........ Nataka kuwaambia Timu za Simba, Yanga na Mtibwa ni Timu nzuri na zinaonyesha kiwango cha soka kuliko hiyo TIMU YA MAXIMO NA TENGA WAKE.
.......Inawezekana kabisa kuwa Maximo amefika ukomo, au wachezaji wamefika ukomo wa kufundishika. Kumleta Mzirai sio suluhisho.
Excellent MkuuAkitoka Maximo kazi apewe nani, Mziray??
Tatizo si Maximo, hata akija Capello hatafanya miujiza tunayoitaka. Tuanze kujenga misingi ya ushindi kuanzia shuleni na vilabu. Hakuna stability, kila siku ni mabadiliko continuity itapatikani wapi?
Anyway mimi si mtalaam wa soka (Soccer Science), ila kwa maoni yangu naona kuna kaprogress fulani kamepatikana tangia Maximo achukue mikoba ya ukocha. Mi nafikiri, tatizo letu ni kwamba vijana wetu hawana background nzuri sana ya nidhamu ya michezo na Elimu ya MICHEZO kwa ujumla wake tofauti na vijana tunaowaona wanasukuma kambumbu huko Europe, wale vijana walio wengi wamekulia kwenye ma academy ya michezo and they know exactly what football means to them, so kwao kocha nafikri kazi yake inakuwa ndogo sana ya kuwajenga kisaikolojia na kuwajenga kitimu zaidi!
Sisi vijana wetu wanaweza kuwa na vipaji sana vya soka lakini havijaendelezwa, kila moja anachomoka toka huko uswazi kivyake......, hakuna wakumjenga stamina, hakuna discipline ya michezo, yaani tabu tu...so hawa makocha wanao wafundisha cha moto wanakiona na wanajitahidi sana kwa kweli!
Ukiziunganisha utaondoa ladha MkuuHizi thread ziko kama tatu hivi zinazofanana maudhui, Mods mngeziunganisha ili kuleta flow nzuri ya mawazo!!
Kama kawaida yetu mpaka tuwezeshwe. Ndio tabu ya WabongoKwanini sisi hatuwezi lakini wao wanaweza?
Hii ni point ya msingi pia. Nakubaliana na wew kwenye bold hapofrankly speaking.marcio hajafanya kitu cha maana ila tu wachezaji wetu wako commited na uwezeshaji unaofanya na wadhamini.kama huamini ni mara ngapi timu ya taifa ilikuwa inakosa hata fedha za kuwapeleka hapo kenya ila mara zilipopatikana waliweza kufanya vizuri.