Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hasira tulizonazo za kuishuhudia timu yetu ikifungwa hatuna budi pia kutoa sifa kwa kocha timu inaposhinda. MAXIMO huyu aliipeleka Tanzania kwenye CHAN, pia aliiwezesha timu kuwa walau inapata matoeo ya kuridhisha against timu za west Africa e.g Ushindi dhidi ya Burkina Fasso, Draw against Cameroon, Ghana, Senegal.Hakuna maendeleo yoyote yaliyopatikana under Maximo tangu amekuja kabalisha balisha kikosi utafikri anajaribu kwachezaji ili kupata first 11. muulize ana wachezaji wangapi ambao bado wao katika kikosi chake cha kwanza alioanza nao? sidhani wanafika hata 2, sasa consistance utaipata wapi?, na work done yote ya nyuma ipo wapi?
Miaka hii michache tu alikuwa na timu ya taifa kafanya mess kibao kuichezea chezea timu yetu, anazidiwa hata na machocha wa club za ndani kwa tactics. defence bomu sijui kawafundisha wawashike ma striker wakati wanaenda kufunga?
Atuachie timu yetu aende kwao tushachoka. Ungeangalia mpira wa jana ungekubaliana na mimi kwamba tupo mbali sana kisoka. hata kama tungeshinda game ya jana ila Rwanda walicheza vizuri na wana tactics safi za kufundishwa, je hao nao wametoka soka academy?
Kocha mzuri anaonekana tu, mpe game 10 za mwanzo utajua, nani kama Phil?
Akitoka Maximo kazi apewe nani, Mziray??
Tatizo si Maximo, hata akija Capello hatafanya miujiza tunayoitaka. Tuanze kujenga misingi ya ushindi kuanzia shuleni na vilabu. Hakuna stability, kila siku ni mabadiliko continuity itapatikani wapi?
..Kocha mpaka ameingia kwenye kuigiza filamu za kiswazi...unategemea atafundisha mpira kweli?? Jana alikuwa mpole kama alilala kwenye jokofu!!!kocha gani bana hata kiswahili hajui bana amekaa miaka 4................shiiiiit .......HANA UWEZO ANAYEBISHA AWEKE CV YAKE HAPA......LOL??
Mimi nafikiri bado tunamuhitaji, kinachotakiwa ni kubadili mfumo wa soka ili tuwe na klabu hodari zaidi zenye wachezaji chipukizi ambao watcheza soka la Ulaya. Ila hata aondoke Marcimo aje Ancelloti au Ferguson hakuna mabadiliko yoyote yatakayotokea kwenye national team
Bottomline is; tatizo liko kwetu tuliondoe, watakuja makocha wote bora tunaowajua hatutafika. Mliotazama michezo ya challenge; be honest na tuache ushabiki; magoli alitokosa MGOSI alaumiwe maximo?red cards za Kijinga hata kwenye mechi ya nusu fainali alaumiwe maximo?
I am just thinking aloud!
je ni kweli kwamba maendeleo ya timu ya taifa ya tanzania yanaridhisha kiasi cha kuona kwamba ni vema kocha maximo akaendelea kuvumiliwa?
Au kocha maximo anayo kinga ya kumzuia asifukuzwe kama scolary?
Hawa makocha wa Brazil sisi hawatufai. Mpira wao ume based na pasi sana..ni safi kuangalia ila hauna matunda. Either tutafute makocha toka Ulaya ... angalia mifano timu za Uganda na Zambia etc wanavyocheza AU tusomeshe makocha wetu nje ya nchi (mfano Ulaya) ili wapate ujuzi.
Halafu turudishe UMISETA mashuleni..hii ilikuwa njia nzuri ya kupata wachezaji wazuri!!
Maximo muda wake umeisha!!
Hapo umegusia mambo yote ya maana. Kwa kifupi ni kwamba wachezaji wetu hawajui kujipanga, hawana tactical discipline na hawajui how to play to their strengths.
Tunahitaji kocha kutoka visiwa vya Uingereza, Ujerumani au the former soviet union.
For tactical discpline and organisation look no further than the Greece Euro 2004 winning squad which despite being inferior than most of their counterparts won the competition simply by playing a highly tactically discplined style of football which maximised their strengths and minimised their vulnerability in areas they were not so good at.