Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 95
Masa, do you think this man is capable for the task?Its time to go! Mziray upo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masa, do you think this man is capable for the task?Its time to go! Mziray upo wapi?
Mkuu kula tano, analysis nzuri sana hii, akose goli Mrwanda, Marcimo ashikiwe bakora. Wapi na wapi bwana?Pamoja na hasira tulizonazo za kuishuhudia timu yetu ikifungwa hatuna budi pia kutoa sifa kwa kocha timu inaposhinda. MAXIMO huyu aliipeleka Tanzania kwenye CHAN, pia aliiwezesha timu kuwa walau inapata matoeo ya kuridhisha against timu za west Africa e.g Ushindi dhidi ya Burkina Fasso, Draw against Cameroon, Ghana, Senegal.
Nafikiri tatizo letu sio MAximo, bali ni mfumo wa soka letu kwa ujumla. Tujiulize maximo anapata wapi wachezaji? Mostly ni Simba na Yanga; zitazame hizi timu kwa miaka mitatu nyuma niambie zimeshinda mashindano gani ya kimataifa au kuifunga timu gani bora hapa Afrika Mashariki na Kati?Kwa miaka miwili mfululizo ligi kuu Bara, mfungaji bora amekuwa ni mchezaji kutoka nje ya Tanzania (hatuna wachezaji wenye uwezo wa kufunga magoli??). Na sio kweli kuwa timu ya maximo inabadilika wachezaji wa timu ya Taifa stars ni wale wale , First eleven imepungukiwa na hawa wafuatao tu Kaseja(alionyesha upuuzi mwenyewe, hastahili mshamaha; huwezi kushangilia timu yako mwenyewe ikifungwa), Ivo Mapunda (kiwango kimepungua), Meck Maxime(kastaafu, kabadilishwa na Juma Jabu), Mwaikimba na Said Maulid (uwezo duni/Umri), Victor Costa(majeraha) na Deo Njohole (kiwango duni) Chuji, nidhamu mbovu(bangi). Hawa ndio walioondolewa ktk first eleven ya maximo na kuanza kuongeza chipukizi wafuatao, Juma Dihile, Jerry tegete, Mrisho Ngassa, Kiggi Makasi, Juma Jabu, nk Chipukizi hawa hatuwezi kubisha kuwa ni kati ya wachezaji bora kabisa waliopo katika ligi kuu ya Bara kwa sasa.
Bottomline is; tatizo liko kwetu tuliondoe, watakuja makocha wote bora tunaowajua hatutafika. Mliotazama michezo ya challenge; be honest na tuache ushabiki; magoli alitokosa MGOSI alaumiwe maximo?red cards za Kijinga hata kwenye mechi ya nusu fainali alaumiwe maximo?
I am just thinking aloud!
mie naona wakirudi Maximo na Wachezaji wote wakapewe somo la uzalendo jeshini kama Ivory Coast !!!! ili siku nyingine wajue jukumu lao na Baba yao Kaijage walioenda naye!!!
In 2000, the Ivory Coast national team was detained in a military camp by the then military government led by General Robert Guei, after failing to make it past the first round of the African Nations Cup.
Labda hapo kwenye bold tu. Hao wengine ni wachambuzi wa soka tu lakini sio makocha
- Silverster Marsh
- Silversaid Mziray
- Abdallah Kibadeni
- Freddy Minziro
Nitajieni makocha hata watatu tu ambao nyie mnaamini leo hii akiondoka Marcimo watachukua mikoba ya NT na mambo yakawa fresh
kaka hii very simpleeee
- JOSE MOURINHO (MILAN)
- SHEHATA (EGYPT)
- COACH WA ZANZIBAR (ZANZIBAR)
- PHIRI (SIMBA S/C)
need i say more???...issue hapa sio kwamba hatuna makocha wa kuziba pengo lake....tunao kibao na wazuri kuliko yeye....
Na weye hovyo kabisa...Mziray wa kazi gani???Hajui ukocha kazi kutegemea waganga????WHYYYYY???akitoka Maximo bora hata Kibaden na wengineo but never never MZIRAY???tulishakuwa nae alifanya nini????ZERO.Its time to go! Mziray upo wapi?
ingieni ktk uendeshaji wa club kisayansi nyie aaah hamuoni azam fc
Timu za Tanzania zinaendeshwa kienyeji-enyeji lakini bado mnataka kocha wa taifa afanye vizuri.