Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

  • Silverster Marsh
  • Silversaid Mziray
  • Abdallah Kibadeni
  • Freddy Minziro
 
BNHAI.....NIMEKUSOMA ...na pia thanx kwa kutujuza zaidi huyu mzee alivyokuwa kimeo...hana cha homesickness wala fevefr...wewe timu inafungwa mpaka inakaribia kushuka daraja ULAYA ATAKUTAKA NANI????...aliamua kukimbia akijuwa kuwa ni kimeo tayari atakuwa gumzo magazetini na tv akaamua kula kona...

kwanini hakimbii hapa kwetu???...who is behind his stupid kiburi..tff au mzee wa magogoni plot #1 block1...inabidi tumjue amtiaye kiburi ili tuanze kudeal naye...hatuwezi kumgombeza mbwa ilhali mwenye naye na anayempa chakula katulia tuliiii.....KI-TANZANIA ZAIDI
 
Pamoja na hasira tulizonazo za kuishuhudia timu yetu ikifungwa hatuna budi pia kutoa sifa kwa kocha timu inaposhinda. MAXIMO huyu aliipeleka Tanzania kwenye CHAN, pia aliiwezesha timu kuwa walau inapata matoeo ya kuridhisha against timu za west Africa e.g Ushindi dhidi ya Burkina Fasso, Draw against Cameroon, Ghana, Senegal.
Nafikiri tatizo letu sio MAximo, bali ni mfumo wa soka letu kwa ujumla. Tujiulize maximo anapata wapi wachezaji? Mostly ni Simba na Yanga; zitazame hizi timu kwa miaka mitatu nyuma niambie zimeshinda mashindano gani ya kimataifa au kuifunga timu gani bora hapa Afrika Mashariki na Kati?Kwa miaka miwili mfululizo ligi kuu Bara, mfungaji bora amekuwa ni mchezaji kutoka nje ya Tanzania (hatuna wachezaji wenye uwezo wa kufunga magoli??). Na sio kweli kuwa timu ya maximo inabadilika wachezaji wa timu ya Taifa stars ni wale wale , First eleven imepungukiwa na hawa wafuatao tu Kaseja(alionyesha upuuzi mwenyewe, hastahili mshamaha; huwezi kushangilia timu yako mwenyewe ikifungwa), Ivo Mapunda (kiwango kimepungua), Meck Maxime(kastaafu, kabadilishwa na Juma Jabu), Mwaikimba na Said Maulid (uwezo duni/Umri), Victor Costa(majeraha) na Deo Njohole (kiwango duni) Chuji, nidhamu mbovu(bangi). Hawa ndio walioondolewa ktk first eleven ya maximo na kuanza kuongeza chipukizi wafuatao, Juma Dihile, Jerry tegete, Mrisho Ngassa, Kiggi Makasi, Juma Jabu, nk Chipukizi hawa hatuwezi kubisha kuwa ni kati ya wachezaji bora kabisa waliopo katika ligi kuu ya Bara kwa sasa.

Bottomline is; tatizo liko kwetu tuliondoe, watakuja makocha wote bora tunaowajua hatutafika. Mliotazama michezo ya challenge; be honest na tuache ushabiki; magoli alitokosa MGOSI alaumiwe maximo?red cards za Kijinga hata kwenye mechi ya nusu fainali alaumiwe maximo?

I am just thinking aloud!
Mkuu kula tano, analysis nzuri sana hii, akose goli Mrwanda, Marcimo ashikiwe bakora. Wapi na wapi bwana?
 
mie naona wakirudi Maximo na Wachezaji wote wakapewe somo la uzalendo jeshini kama Ivory Coast !!!! ili siku nyingine wajue jukumu lao na Baba yao Kaijage walioenda naye!!!
 
mie naona wakirudi Maximo na Wachezaji wote wakapewe somo la uzalendo jeshini kama Ivory Coast !!!! ili siku nyingine wajue jukumu lao na Baba yao Kaijage walioenda naye!!!

Ur right mate Ivory Coast walikiona cha moto

In 2000, the Ivory Coast national team was detained in a military camp by the then military government led by General Robert Guei, after failing to make it past the first round of the African Nations Cup.

Kabla ya kina Drogba hii! Nadhani ni vyema pia Taifa stars na kocha wao tuwapeleke JKT kwa miezi 6
 
Nitajieni makocha hata watatu tu ambao nyie mnaamini leo hii akiondoka Marcimo watachukua mikoba ya NT na mambo yakawa fresh

kaka hii very simpleeee

1-ULAYA
- PEP GUARDIOLA (BARCELONA)
- SIR. FERGUSON ALEX(MANCHESTER UTD)
- LUIS FILLIPE SCOLLARI ( FREELANCE)
- JOSE MOURINHO (MILAN)
2- AFRICA
- KOCHA WA TP MAZEMBE (DRC)
- SHEHATA (EGYPT)
- COACH WA ZANZIBAR (ZANZIBAR)
3- NYUMBANI TANGANYIKA
- PHIRI (SIMBA S/C)
- AZAM FC COACH
- RUVU JKT COACH
- KOCHA WA FARU DUME (KINESI CUP-KINONDONI)
- KOCHA WA ABAJALO SINZA (KINESI CUP-KINONDONI)

need i say more???...issue hapa sio kwamba hatuna makocha wa kuziba pengo lake....tunao kibao na wazuri kuliko yeye....
 
kaka hii very simpleeee
- JOSE MOURINHO (MILAN)
- SHEHATA (EGYPT)
- COACH WA ZANZIBAR (ZANZIBAR)
- PHIRI (SIMBA S/C)
need i say more???...issue hapa sio kwamba hatuna makocha wa kuziba pengo lake....tunao kibao na wazuri kuliko yeye....

Tatizo liko kwa mkulu!
Utakumbuka maximo halikua chaguo number 1 la TFF!
Ila mkulu nayeeeeee ameweza kuona kuwa adhabu wanazopewa wachezaji ni za kukomoa lakini hajona
uwezo wa mtu wake! au anafikiria na yeye ni kama Scolari???
 
wabongo bana......tatizo la Maximo nini?

Maximo kazi yake ni kufundisha TIMU YA TAIFA na sio kutafuta vipaji......tz hakuna utaratibu wa kulea na kukuza vipaji Maximo kaja kaanza kutafuta vipaji ndio unawaona akina Boko,tegete......

Ni kazi kufundisha taifa lisilo na vipaji wakuu......hata kama ni wewe ukipewa watoto wanye matatizo na akili huwezi kupata matunda mema kama ukipewa watoto walio fiti kiakili......
 
Wabongo kwa longolongo bana Maximo mkataba wake haufi ng'oooooo hata mtoe chozi la damu. Mkataba wake utakufa wakati mmevunja mkataba wa Jakaya Kikwete. Amemuweka Hotelini tangu alipoingia Dar mtoni na ataendelea kukaa tu hapo hotelini. Nyie mlie tu.

Nendeni kufanya kazi nyingine mmeshupalia tu mambo ya Max!
 
Its time to go! Mziray upo wapi?
Na weye hovyo kabisa...Mziray wa kazi gani???Hajui ukocha kazi kutegemea waganga????WHYYYYY???akitoka Maximo bora hata Kibaden na wengineo but never never MZIRAY???tulishakuwa nae alifanya nini????ZERO.
 
Naomba tujiulize tu maswali kidogo, ulikilinganisha gharama ambazo tumeingia kuijenga Timu ya Kili ambayo ina wachezaji 92% ya wachezaji wa Taifa stars, na timu ya Zanzibar ambayo ina wachezaji wawili tu wanaochezea Taifa stars. Utaona kuwa Zanzibar wana kocha mzuri kwa timu haina vifaa na wala kambi yao ni bora tuende lakini wanafanya vizuri zaidi ya Kili. Huyu kocha mbwembwe nyingi hamna kitiu , ni wakatai wa kujiuliza sasa
 
Watanzania mnaongea sana bila ya kuangalia au kujua nini chanzo cha kushindwa kwetu ktk michezo ya kimataifa.mimi nimecheza sana mpira na nimekuwa na marafiki wachezaji wengi. kitu cha kwanza kinachotuangusha wachezaji wetu wengi wanacheza mpira lkn hawana malengo. simba na yanga ndiko wachezaji wanakoua vipaji vyao.vyombo vya habari vinatoa sifa ambazo hazipo kwa wachezaji, wachezaji hawafanyi mazoezi ya kutosha wala kufanya mazoezi ya ziada mfano kwenda gym au kukimbia asubuhi mapema, kujifunza kitu fulani binafsi km kupiga penalt, kross, free kick etc. haya hatukuwa na under 17 au under 21, hatuna mfumo wa soka la vijana, km kuna mtu aliangalia fainali za under 20 kule misri au under 17 kule nigeria mtaona wenzetu wanavyojali kuandaa wachezaji wao, nyie mnadhani eti kocha ndo awapandishe kiwango, km hamuwaandai vijana basi mtaendelea kunyolewa daily na kuwalaumu makocha tu.yanga na simba fukuza huo mzigo mzito wa wanachama wasio na tija ktk maendeleo ya club hizo, ingieni ktk uendeshaji wa club kisayansi nyie aaah hamuoni azam fc
 
Watanzania hacheni ubishi. Mafanikio katika timu ya taifa yanategemea sana na ligi inavyoendeshwa.

Timu za Tanzania zinaendeshwa kienyeji-enyeji lakini bado mnataka kocha wa taifa afanye vizuri.
 
Maximo ,ameshindwa kazi.Wala hawezi kujisifia kuwa amelotoa soka la bongo kutoka wadi ya wagonjwa mahutihuti na kupeleka kwa wagonjwa wenye nafuu.Kilichafanya mabadiliko hayo ni jitihada za serikali na wadau kuweka mazingira mazuri kwa wachezaji.ikumbukwe mwaka 1980 mafanikio ya stars yalpatikana mikononi mwa makocha wazawa Joel Bndera na kama sikosei Paul west Gwivaha.Makocha wazawa walokuwa wakifundisha timu ya taifa baada ya mwaka 1980 ikiwa ni pamoja na kina Mzirai ,kinanda na wengineo hawakupewa mazingira mazuri ya kuwezesha timu kufanya vizuri kama ilivyo kwa maximo.Mimi naamini hata leo hii Julio akipwa timu hiyo na akipewa mazingira kama ya maksimo anaweza kufikia hatua ya maksimo au zaidi.
Rekodi ya Maksimo hamfikii hata mzirai angalau alichukuwa challenge,na ubingwa wa bara akiwa na timu tafauiti ikiwemo African sports
 
Hebu acheni kusingizia u simba au u yanga, hivi wazenji hawana timu wanazozipenda? haya mambo yako kote nenda Spain, England na hata Italy. Ukweli huwezi kukaa na timu miaka 4 usiwe na 1st eleven, hivi wakati zamani tunapata mafanikio kulikuwa hakuna u-simba na u-yanga?
 
Nafikiri ni high time aondolewe...aletwe kocha kutoka either ujerumani au netherland, soko la vijana wetu haliko brazil hatumhitaji maximo...maximo must go
 
Back
Top Bottom