Mauza uza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2008
- 2,094
- 1,366
Wabongo banaaaaa mmeshaanza kumtupia lawama JK eti ndo kamleta acheni hizo ..wachezaji wenu hawafundishiki hata akija The Special One Maurinho ni bure tuuuu.vyovyote vile
lakini tungekuwa na uhuru wa kumfukuza
kama angeshindwa..
Sasa huyu maximo tunashindwa kumfukuza
kwa sababu ya jk.
Maximo angekuja kipindi wapo wachezaji walioshiba kama akina Mwameja,Athman Juma Chama,Juma Mkambi,Victor Mkanwa,Juma Mgunda etc. hapo bongo ingefika mbali even World Cup.Lakini kwa hawa 5'5 ft wachezaji, msitegemee miujiza Hata Rwanda na Burundi wakija wanatubamiza jamani.Vile vile ikumbukwe unawezakuwa mchezaji wa 5'5ft but ukawa na stamina, unawakumbuka akina Omar Hussein Keegan??au Raphael Paul-RIP, au Abubakar Salum?????walikuwa wafupi lakini stamina ilikuwepo.Wachezaji wa sasa chips/kuku halafu mnataka waende world cup wakapambane na akina Essien,Obi Mikel,Lampard,JT kweli????mwacheni Maximo afanye kazi yake,hao akina Mziray si walikuwepo enzi hizo ??Na tulikuwa kichwa cha mwenda wazimu???.........ndio hio wandugu.