My God! Msiba juu ya msiba.View attachment 3681648
Ile mutu kuba ya Zimbabwe, Wicknell Chivayo, the billionaire, is dead.
Ile circumstances ya kifo yake si tu inatia mashaka, lakini imesitua sana everybody.
The whole family GONE!
Baba , mama, watoto bili, gone.
Lakini Mr Chivayo's acquaintances, many of whom are politicians, leave much to be questioned.
Mr Chivayo alikuwa rafiki na Mama Samia, William Ruto, and many politicians, to name a few.
My question to Mama Samia: this billionaire Chivayo was not a freedom fighter from Zimbabwe; we do not know his known investments in Tanzania.
We just do not know how you became "friends".
Presidential friends occupy a political space.
Hata leo Tanzanians do not know actually who this Chivalo guy was doing in our State House.
Unamanisha nnMy God! Msiba juu ya msiba.
Who is Next?
Hili wala haihitaji uwe mwanasayansi wa roketi kulijua.Chivayo was conman💯
Naweza kuhisiNaona Kila nchi kafika na amepga picha pia za state house mbalimbali,swali langu alikuwa na biashara Gani!??
JF ifungiwe kwa sababu ya watu kuuliza maswali ya msingi?Usifanye JF ifungiwe mara ya pili
Post kumuhusu huyo mwamba, watawala wetu hawapendi kuziona
Anyways, tutaomba VP aende msibani kwa niaba ya namba 1
Kama Nchi imefanya biashara nyingi za gizani na huyo Big
Mkuu, umesahau ilifungiwa baada ya picha zao kurushwa humu?Naweza kuhisi
JF ifungiwe kwa sababu ya watu kuuliza maswali ya msingi?
Swali litabaki, Mama Samia na Bilionea Chivalo, ni kipi kiliwaweka pamoja wakiwa ndani ya Ikulu ya wananchi?
Mwaka ganiMkuu, umesahau ilifungiwa baada ya picha zao kurushwa humu?
Inaonekana wewe ni mgeni, ilifungiwa Sept 2025 kwa miezi 3, tulisota vibaya mno.Mwaka gani
Ilikuwa mwaka huu miezi ya mwanzoni kama nitakuwa sahihiMwaka gani
Nadhani waliokuwa nyuma ya bonge wale drug cartels walishamchoka yeye alikuwa kijana wa kutumwa tu, hiyo chopa haijaanguka kwa bahati mbaya.Kwa hao marafiki zake billionaire Chivalo, walikuwa na biashara gani?
Mwaka janaMwaka gani
POLEPOLE Humfrey alisema huyo bonge nyanya kakaa kaa kizembe ikulu...
Halafu huyo jamaa anacheka msibani, Nini hiyoMsiba mzito sana huu kwa maswahiba. Ruto tayari ametoa kilio cha maumivu ya kumpoteza "rafiki yake" .