masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Tetesi zimeanza kutoka.
Wizi wa mali za Umma zinaanza kujitokeza.
Chivayo, The Presidential Banker!
Mwalimu wa shule ya English medium huyo.Wewe ni nani mbona kingereza kingi😁
Hii ni scandal of biblical dimensions!View attachment 3681738
Tetesi zimeanza kutoka.
Wizi wa mali za Umma zinaanza kujitokeza.
Chivayo, The Presidential Banker!
Alihusika kwenye mchakato wa uchaguzi..Swali litabaki, Mama Samia na Bilionea Chivalo, ni kipi kiliwaweka pamoja wakiwa ndani ya Ikulu ya wananchi?
Chivayo was about 43...how old is bibi Eda?!View attachment 3681648
Ile mutu kuba ya Zimbabwe, Wicknell Chivayo, the billionaire, is dead.
Ile circumstances ya kifo yake si tu inatia mashaka, lakini imesitua sana everybody.
The whole family GONE!
Baba , mama, watoto bili, gone.
Lakini Mr Chivayo's acquaintances, many of whom are politicians, leave much to be questioned.
Mr Chivayo alikuwa rafiki na Mama Samia, William Ruto, and many politicians, to name a few.
My question to Mama Samia: this billionaire Chivayo was not a freedom fighter from Zimbabwe; we do not know his known investments in Tanzania.
We just do not know how you became "friends".
Presidential friends occupy a political space.
Hata leo Tanzanians do not know actually who this Chivalo guy was doing in our State House.
UPDATE:
ALLEGATIONS are serious!!
Source: mitandao
View attachment 3681749
Kwa hiyo jamaa alikuwa na mshangazi!Edda Juu Ya Edda polezake mfiwa wa visiwan
Mbona nimeona taarifa nyingine inasema watoto na mke wake mpya awaku boardView attachment 3681648
Ile mutu kuba ya Zimbabwe, Wicknell Chivayo, the billionaire, is dead.
Ile circumstances ya kifo yake si tu inatia mashaka, lakini imesitua sana everybody.
The whole family GONE!
Baba , mama, watoto bili, gone.
Lakini Mr Chivayo's acquaintances, many of whom are politicians, leave much to be questioned.
Mr Chivayo alikuwa rafiki na Mama Samia, William Ruto, and many politicians, to name a few.
My question to Mama Samia: this billionaire Chivayo was not a freedom fighter from Zimbabwe; we do not know his known investments in Tanzania.
We just do not know how you became "friends".
Presidential friends occupy a political space.
Hata leo Tanzanians do not know actually who this Chivalo guy was doing in our State House.
UPDATE:
ALLEGATIONS are serious!!
Source: mitandao
View attachment 3681749
Kweli Mungu hadhihakiwi.Alihusika kwenye mchakato wa uchaguzi..
Tanzania —
Allegations concerning the 2025 elections, access to Tanzania's political leadership including president Samia Suluhu Hassan.
-- supplied Tanzania's election materials;
-- controlled or influenced Tanzania's electoral machinery;
-- participated in manipulating Tanzanian votes;
Six people reportedly died in the crash.Mbona nimeona taarifa nyingine inasema watoto na mke wake mpya awaku board
There should be a Judiciary Inquiry on this controversial Chivayo and his involvement on the Tanzania October 29 2025 Elections.Alihusika kwenye mchakato wa uchaguzi..
Tanzania —
Allegations concerning the 2025 elections, access to Tanzania's political leadership including president Samia Suluhu Hassan.
-- supplied Tanzania's election materials;
-- controlled or influenced Tanzania's electoral machinery;
-- participated in manipulating Tanzanian votes;
-------------------------------
Chivayo was among foreign figures connected to controversial electoral processes elsewhere in Africa and questioned why such individuals had access to many African Presidents.
Zimbabwe —
Chivayo became associated with Ren-Form CC, a South African printing company involved in supplying election-related materials for Zimbabwe's 2023 elections.
2024 — He was alleged to have obtained approximately US$40 million from the electoral-material deal.
Kenya —
February 2026 — Former Kenyan Attorney-General and National Assembly Speaker Justin Muturi publicly raised concerns about Ruto's...
- Quinine
- Replies: 4
- Forum: Jukwaa la Siasa
Don't be silly.Umesema ni mfanyabiashara mkubwa, yet you are asking what was he doing pale Ikulu. Vipi kama alihitaji kuwekeza?
Aliko Dangote was also there recently, why didn't you ask.
💯%.Hili jambazi limesababisha mauaji ya watu wengi ukanda huu na lina mchango mkubwa sana kwenye October 29 na washwash gang yake siwezi kusikitika kwa kifo chake.
KARMA huwa haichelewi sana.Hili jambazi limesababisha mauaji ya watu wengi ukanda huu na lina mchango mkubwa sana kwenye October 29 na washwash gang yake siwezi kusikitika kwa kifo chake.
Bila shaka deals zake mingi zitayeyuka maana nadhani atakuwa anadai hizi nchi za east AfricaView attachment 3681648
Ile mutu kuba ya Zimbabwe, Wicknell Chivayo, the billionaire, is dead.
Ile circumstances ya kifo yake si tu inatia mashaka, lakini imesitua sana everybody.
The whole family GONE!
Baba , mama, watoto bili, gone.
Lakini Mr Chivayo's acquaintances, many of whom are politicians, leave much to be questioned.
Mr Chivayo alikuwa rafiki na Mama Samia, William Ruto, and many politicians, to name a few.
My question to Mama Samia: this billionaire Chivayo was not a freedom fighter from Zimbabwe; we do not know his known investments in Tanzania.
We just do not know how you became "friends".
Presidential friends occupy a political space.
Hata leo Tanzanians do not know actually who this Chivalo guy was doing in our State House.
UPDATE:
ALLEGATIONS are serious!!
Source: mitandao
View attachment 3681749
It's not hard to picture the scenario.Bila shaka deals zake mingi zitayeyuka maana nadhani atakuwa anadai hizi nchi za east Africa
Huyu jamaa ni tapeli mkubwa,sijui kwa nini Viongozi walikuwa wanakubali kumkaribisha na kupiga naye picha,