Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Better be safer than sorry!.Mkuu hujaitendea haki kalamu yako!
Beating around the bush!
P
Better be safer than sorry!.Mkuu hujaitendea haki kalamu yako!
Beating around the bush!
Sasa tunaweza kudai posthumously jamaa alikuwa na uhusiano gani na Rais au ni nini kilikuwa kinampeleka ikulu mara kwa mara. Tungeanza na chief secretary atupe maelezo. La sivyo nategemea wabunge wetu watatuongoza kutengeneza mwongozo wa wageni wa Presidency (kama haupo).Hiyo kweli kabisa.
Kuna ndugu na jamaa, relative ambao natebelea Rais lakini hawaonekani kabisa chombo habari,
Huyu Chivayo alikuwa na ajenda maalum.
Sasa wananchi veza dai what is at stake.
Lakini from various media outlets Chivayo had shoddy deals in money laundering, election interference, na fake Govt contracts.
Track record inaonyesha aliwahi kufungwa na aliwahi kuwa wanted South Africa kwa shoddy deals.
Hiyo kweli kabisa.

Mkuu viingizi wengi wamekunywa maji ya kifisadi ya Chivalo, hadi wengine wanakaribia kuzama naye.Hivi ashawahi kwenda kwa p.kagame au traore 😄
Ova
Nakuelewa mkuu!Better be safer than sorry!.
P
Huyo iko maneno.Sasa tunaweza kudai posthumously jamaa alikuwa na uhusiano gani na Rais au ni nini kilikuwa kinampeleka ikulu mara kwa mara. Tungeanza na chief secretary atupe maelezo. La sivyo nategemea wabunge wetu watatuongoza kutengeneza mwongozo wa wageni wa Presidency (kama haupo).
Presidency not president