Show me your friends, I will show you your character!-Chivayo connection!

My God! Msiba juu ya msiba.
 
 
Naona Kila nchi kafika na amepga picha pia za state house mbalimbali,swali langu alikuwa na biashara Gani!??
Naweza kuhisi
Usifanye JF ifungiwe mara ya pili

Post kumuhusu huyo mwamba, watawala wetu hawapendi kuziona

Anyways, tutaomba VP aende msibani kwa niaba ya namba 1

Kama Nchi imefanya biashara nyingi za gizani na huyo Big
JF ifungiwe kwa sababu ya watu kuuliza maswali ya msingi?
Swali litabaki, Mama Samia na Bilionea Chivalo, ni kipi kiliwaweka pamoja wakiwa ndani ya Ikulu ya wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…