Show me your friends, I will show you your character!-Chivayo connection!

Sasa tunaweza kudai posthumously jamaa alikuwa na uhusiano gani na Rais au ni nini kilikuwa kinampeleka ikulu mara kwa mara. Tungeanza na chief secretary atupe maelezo. La sivyo nategemea wabunge wetu watatuongoza kutengeneza mwongozo wa wageni wa Presidency (kama haupo).
Presidency not president
 
Hivi ashawahi kwenda kwa p.kagame au traore 😄

Ova
Mkuu viingizi wengi wamekunywa maji ya kifisadi ya Chivalo, hadi wengine wanakaribia kuzama naye.
Kagame na Traore wako juu kabisa nchi kavu.
 
Huyo iko maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…