Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Maslahi binafsi: Mimi ni mnazi wa magari.. Hivyo binafsi nampongeza Lugumi kuwa na collection ya maana kwa level zetu za kibongo.. Pili sio mtu wa show off za mitandaoni..
Lugumi anaweza asiwe tajiri sana lakini ameweza pengine kuziishi ndoto zake
Utajiri una level zake
Utajiri ngazi ya kijiji/kata
Utajiri ngazi ya Wilaya
Utajiri ngazi ya mkoa/kanda
Utajiri ngazi ya Taifa
Utajiri ngazi ya bara
Utajiri ngazi ya dunia
Kilichotokea kwa Lugumi na kijana anayetamba ana utajiri mkubwa bwana chief Godlove.. Ni fedheha na aibu kwa kijana huyo.
Lugumi alichofanya ni kumtusi kwa vitendo na kumdhalilisha hadharani. Kijana chief Godlove anachonga sana mitaani na mitandaoni akijinasibu kwamba yeye ni tajiri sana
Ana show off nyingi za magari yake kama matank hivi mitumba ambayo kwa pamoja thamani yake haifiki ama haizidi milion mia tatu.. Mabunda ya pesa anayoonyesha ni hizi pesa zetu tunazoziita za Madafu zisizozidi million 50.. Hana uwezo wa kuonesha walau dola laki moja tuu..!
Kwenye video inayotrend mitandaoni inamuonesha wakati akiagana na mwenyeji wake kisha matusi yakaanza
1. Moja akapelekwa kwenye show room ambayo imepaki ndinga mpya na za hadhi ya juu tupu.. Mojawapo ya ndinga mwenyeji wake aliyoiita uchafu haipungui milion 150.. Na inathamani ya magari zaidi ya matatu ya CGL. Show room hiyo ni safi na ya gharama na kimefungwa viyoyozi na vioo na aluminium..!
2. Kitendo cha kupewa marashi lilikuwa ni tusi baya. Mwanaume utapewaje zawadi ya manukato na Mwanaume mwenzako!? Ni aidha ana lake jambo ama ulipofika kwake alikuona unanuka kikwapa.. Ama vinginevyo visivyosemwa..
Kwa ulimbukeni CGL aliifungua palepale na kujipuliza huku akiisifia sana!😂
3. Kitendo cha kupewa bunda la pesa kama 5M hivi .. Nacho kilikuwa dhihaka na tusi kubwa.. Wanaume huwa tunasaidiana lakini sio kwa mazingira yale yaliyokaa kama kuhongwa..!
Kwa utajiri anaojinasibu nao CGL mitandaoni alipaswa pale aoneshe mkataba ama mikataba ya dili ya pesa ndefu na connection za pesa na sio vipesa na manukato..
Pengine Lugumi hakutaka chochote kijulikane lakini mwana alipoenda na Cameraman.. Bila kujua ametufunulia mengi kuhusu anachoita utajiri wake