Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

Kwa umri alionao, Hela alizonazo zinamtosha kabisa, 🙂🙂.

Hapo alikuwa petrol ⛽ station anagawa mafuta kwa boda - boda
View attachment 3137472
Kuna mtu Arusha alikuwa anaitwa askofu.. Anasimama kwenye kiambaza cha ghorofa lake kisha anamwaga pesa chini watu wanagombea.. Alikufa maskini
 
Kuna mtu kaandika yafuatayo mahali, sijui yana ukweli ganii!!;

"Huyo Lugumi Magufuli alimkomesha alishirikiana na utawala wa Kikwete kuiba rasilimali za nchi hii... Magu amekufa majambazi wakubwa kama hao wanaendelea kuwaibia watanzania kwa kasi kubwa sana...Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli kabisa"
 
Maslahi binafsi: Mimi ni mnazi wa magari.. Hivyo binafsi nampongeza Lugumi kuwa na collection ya maana kwa level zetu za kibongo.. Pili sio mtu wa show off za mitandaoni..

Lugumi anaweza asiwe tajiri sana lakini ameweza pengine kuziishi ndoto zake

Utajiri una level zake
Utajiri ngazi ya kijiji/kata
Utajiri ngazi ya Wilaya
Utajiri ngazi ya mkoa/kanda
Utajiri ngazi ya Taifa
Utajiri ngazi ya bara
Utajiri ngazi ya dunia

Kilichotokea kwa Lugumi na kijana anayetamba ana utajiri mkubwa bwana chief Godlove.. Ni fedheha na aibu kwa kijana huyo.

Lugumi alichofanya ni kumtusi kwa vitendo na kumdhalilisha hadharani. Kijana chief Godlove anachonga sana mitaani na mitandaoni akijinasibu kwamba yeye ni tajiri sana

Ana show off nyingi za magari yake kama matank hivi mitumba ambayo kwa pamoja thamani yake haifiki ama haizidi milion mia tatu.. Mabunda ya pesa anayoonyesha ni hizi pesa zetu tunazoziita za Madafu zisizozidi million 50.. Hana uwezo wa kuonesha walau dola laki moja tuu..!

Kwenye video inayotrend mitandaoni inamuonesha wakati akiagana na mwenyeji wake kisha matusi yakaanza

1. Moja akapelekwa kwenye show room ambayo imepaki ndinga mpya na za hadhi ya juu tupu.. Mojawapo ya ndinga mwenyeji wake aliyoiita uchafu haipungui milion 150.. Na inathamani ya magari zaidi ya matatu ya CGL. Show room hiyo ni safi na ya gharama na kimefungwa viyoyozi na vioo na aluminium..!

2. Kitendo cha kupewa marashi lilikuwa ni tusi baya. Mwanaume utapewaje zawadi ya manukato na Mwanaume mwenzako!? Ni aidha ana lake jambo ama ulipofika kwake alikuona unanuka kikwapa.. Ama vinginevyo visivyosemwa..

Kwa ulimbukeni CGL aliifungua palepale na kujipuliza huku akiisifia sana!😂

3. Kitendo cha kupewa bunda la pesa kama 5M hivi .. Nacho kilikuwa dhihaka na tusi kubwa.. Wanaume huwa tunasaidiana lakini sio kwa mazingira yale yaliyokaa kama kuhongwa..!

Kwa utajiri anaojinasibu nao CGL mitandaoni alipaswa pale aoneshe mkataba ama mikataba ya dili ya pesa ndefu na connection za pesa na sio vipesa na manukato..

Pengine Lugumi hakutaka chochote kijulikane lakini mwana alipoenda na Cameraman.. Bila kujua ametufunulia mengi kuhusu anachoita utajiri wake

Sikujua baba mchungaji kama una mipasho namna hii. Yule kijana hana hela ya kueleweka. Ila anataka attention. Kuna namna haiko sawa juu ya yule kijana. Muda utaongea.
Inawezekana ni kweli unachosema. Kijana ana collection ya mitumba fulani inayoleta uchafuzi wa mazingira kwa ujumla wake. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Je Lugumi ndio Pdidy wa bon
Mkuu

Mkuu nashida na ww ila sijui namna ya kukutumia ujumbe binafsi mm ni member mpya humu.
 
Kuna mtu kaandika yafuatayo mahali, sijui yana ukweli ganii!!;

"Huyo Lugumi Magufuli alimkomesha alishirikiana na utawala wa Kikwete kuiba rasilimali za nchi hii... Magu amekufa majambazi wakubwa kama hao wanaendelea kuwaibia watanzania kwa kasi kubwa sana...Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli kabisa"
Ni kweli kabisa Lugumi kipindi cha Jk hakulaza damu alitembea na fursa.. Halafu Magu akaja akamtikisa
 
Sikujua baba mchungaji kama una mipasho namna hii. Yule kijana hana hela ya kueleweka. Ila anataka attention. Kuna namna haiko sawa juu ya yule kijana. Muda utaongea.
Inawezekana ni kweli unachosema. Kijana ana collection ya mitumba fulani inayoleta uchafuzi wa mazingira kwa ujumla wake. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hivi mwanaume unayejiita tajiri unapewaje zawadi ya manukato na Mwanaume mwenzako🤔🙇🏿‍♂😀... Ah basi sawa.. Na pesa ya bata..🥺 Huku si kuhongwa kabisa kama demu!🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿
 
Back
Top Bottom