Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

Kuna mtu kaandika yafuatayo mahali, sijui yana ukweli ganii!!;

"Huyo Lugumi Magufuli alimkomesha alishirikiana na utawala wa Kikwete kuiba rasilimali za nchi hii... Magu amekufa majambazi wakubwa kama hao wanaendelea kuwaibia watanzania kwa kasi kubwa sana...Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli kabisa"
Anawaibia vipi wakati ni mzabuni uyo watenda mbalimbali za serikali na malipo anapokea Kwa utaratibu WA government payments hapo wezi ni viongozi wenu na sio Jamaa na ndo maana hawezi kamatwa ata siku Moja😀😀 viongozi akishirikiana nao kuiba 70B yake 60B ya viongozi 10B wizi WA government expenditures mzuri sana
 
Wamasai wana msemo....Kuwa na pesa si tatizo....,,,,,,,,,,tatizo ni Je? Pesa hiyo unaweza kuimiliki kwa muda gani?
 
Mimi huwa nasema hivi nitaamini haya magari ni mali binafsi nikioneshwa kadi ya gari. Vinginevyo tuendelee kusema hatuwajui wamiliki wa haya magari.
 
Said Mjanja Mjanja
Akafunge Zile CCTV Kila Kituo Cha Police
 
Kuna mtu kaandika yafuatayo mahali, sijui yana ukweli ganii!!;

"Huyo Lugumi Magufuli alimkomesha alishirikiana na utawala wa Kikwete kuiba rasilimali za nchi hii... Magu amekufa majambazi wakubwa kama hao wanaendelea kuwaibia watanzania kwa kasi kubwa sana...Magufuli alikuwa mzalendo wa kweli kabisa"
Kuna kajinga Fulani kanasema alikuwa na roho mbaya na katili sana yaani uombe kazi upewe,mshara uchukue halafu kazi hufanyi au unazembea ukitiwa fimbo ndo awe katili?
 
Guys mbona Kuna mtu maarufu alisema ya kwamba lugumi pesa zake si za kawaida?
 
Back
Top Bottom