Mziki gani? Standard ya kuwa tajiri ni kujaza bodaboda kwenye vituo vya mafuta? Kila siku au itakuwa kwa muda gani?
Huko ni kutafuta attention tu. Na wengi wanaofanya hivyo hawana kitu ila ili wapate uhalali kwamba wana pesa wanafanya matukio kama hayo. Yeye sio wa kwanza. Siku za karibuni kuna mtu anaitwa Mr. Mapig. Mwingine sijui nani yule...angalia kwa undani utagundua kuna ombwe.
Hela hazihitaji kelele. Zinajieleza. halafu, wenye hela huwa hawana mbwembwe. Ni wa kawaida sana na hawataki attention za kijinga kijinga