Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Hahaha labdaUsikute bwana lugumi alim P. DIDDY kijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha labdaUsikute bwana lugumi alim P. DIDDY kijana.
. Kumbe bakhresa naye alikuwa anagawa vibunda kwa walalahoi??Miaka ya zamani Dar, ilikuwa wale matajiri, I mean ndio matajiri mpaka leo kama Bakhresa, alikuwa kila Ijumaa anagawa hela pale Livingstone ilipokuwa ile Ice Cream parlour ya kwanza Dar nzima.
Lakini kwa kuwa wakazi wa Dar walivyokuwa na ustaarabu na kujivunia utu wao hata kama anauza madafu, walikuwa hawapangi mstari kusubiri hela ya bure.
Wote waliokuwa wanapanga mstari walikuwa wale ombaomba wa kweli. na ilikuwa aibu kwa mtu wa kawaida kujipanga kusubiri upewe hela.
Leo hii Dar ilivyofikia ni masikitiko.....
Aise 😁😁😁. Zikiisha atenda tena kwa boss mwingine kuomba KIBUNDA ili aje asumbue raia wa DAR.Hii ndio million 10 aliopewa na Lugumi alienda kununulia petrol za wana boda boda. Up
Dah matema beach-kyela 🏖, 2016 nilienda hapo, tulikula sana bata.. ☺️☺️Mnyaki godlove ana mahela balaa! Alitualika kule matema beach tukala vyombo wiki nzima ,kila kitu kwake!msafara kuanzia Tukuyu mpaka Kyela...kijana ni balaa
Ndo huwa inakuwa hivyo mkuu... Watu watakuongelea sana mtandaoni alafu kibunda kimekauka 😁😁. Lazima atafutwe Lugumi part 2.Hahahahahaha
Lugumi alichofanya ni kumtusi kwa vitendo na kumdhalilisha hadharani. Kijana chief Godlove anachonga sana mitaani na mitandaoni akijinasibu kwamba yeye ni tajiri sana
Wakati sisi tukiandika. Hua ana CommentBwashee na wewe unaandika udaku.
Mkuu heshima yako naona leo umeandika udaku. Mimi nikiandika hua una commentMaslahi binafsi: Mimi ni mnazi wa magari.. Hivyo binafsi nampongeza Lugumi kuwa na collection ya maana kwa level zetu za kibongo.. Pili sio mtu wa show off za mitandaoni..
Lugumi anaweza asiwe tajiri sana lakini ameweza pengine kuziishi ndoto zake
Utajiri una level zake
Utajiri ngazi ya kijiji/kata
Utajiri ngazi ya Wilaya
Utajiri ngazi ya mkoa/kanda
Utajiri ngazi ya Taifa
Utajiri ngazi ya bara
Utajiri ngazi ya dunia
Kilichotokea kwa Lugumi na kijana anayetamba ana utajiri mkubwa bwana chief Godlove.. Ni fedheha na aibu kwa kijana huyo.
Lugumi alichofanya ni kumtusi kwa vitendo na kumdhalilisha hadharani. Kijana chief Godlove anachonga sana mitaani na mitandaoni akijinasibu kwamba yeye ni tajiri sana
Ana show off nyingi za magari yake kama matank hivi mitumba ambayo kwa pamoja thamani yake haifiki ama haizidi milion mia tatu.. Mabunda ya pesa anayoonyesha ni hizi pesa zetu tunazoziita za Madafu zisizozidi million 50.. Hana uwezo wa kuonesha walau dola laki moja tuu..!
Kwenye video inayotrend mitandaoni inamuonesha wakati akiagana na mwenyeji wake kisha matusi yakaanza
1. Moja akapelekwa kwenye show room ambayo imepaki ndinga mpya na za hadhi ya juu tupu.. Mojawapo ya ndinga mwenyeji wake aliyoiita uchafu haipungui milion 150.. Na inathamani ya magari zaidi ya matatu ya CGL. Show room hiyo ni safi na ya gharama na kimefungwa viyoyozi na vioo na aluminium..!
2. Kitendo cha kupewa marashi lilikuwa ni tusi baya. Mwanaume utapewaje zawadi ya manukato na Mwanaume mwenzako!? Ni aidha ana lake jambo ama ulipofika kwake alikuona unanuka kikwapa.. Ama vinginevyo visivyosemwa..
Kwa ulimbukeni CGL aliifungua palepale na kujipuliza huku akiisifia sana!😂
3. Kitendo cha kupewa bunda la pesa kama 5M hivi .. Nacho kilikuwa dhihaka na tusi kubwa.. Wanaume huwa tunasaidiana lakini sio kwa mazingira yale yaliyokaa kama kuhongwa..!
Kwa utajiri anaojinasibu nao CGL mitandaoni alipaswa pale aoneshe mkataba ama mikataba ya dili ya pesa ndefu na connection za pesa na sio vipesa na manukato..
Pengine Lugumi hakutaka chochote kijulikane lakini mwana alipoenda na Cameraman.. Bila kujua ametufunulia mengi kuhusu anachoita utajiri wake
Nyumba iko Masaki. Kwa kuheshimu faragha yake siwezi kuitaja. Kwa maoni binafsi ni nyumba kali sana hapo mtaaniHiyo nyumba ya Lugumi IPO Magu huko, alishawahi kutualika futari, he is living huge, sio kwa viwango vya kijijini/ mkoa, hata Oysterbay, Masaki na Upanga Ana nyumba kibao za biashara
kaka mkubwa habari za huko darisalama? nasikia mnateseka joto kali sanaNyumba iko Masaki. Kwa kuheshimu faragha yake siwezi kuitaja. Kwa maoni binafsi ni nyumba kali sana hapo mtaani
Joto ni kali sana kama vile jua limeshuka 10km. Ila kwa upande mwingine kuna watu wao na magari yao joto wanalisikia tu maanake hata magari yanalala vyumba vyenye AC na glass windows/doors!kaka mkubwa habari za huko darisalama? nasikia mnateseka joto kali sana
MshambaAise 😁😁😁. Zikiisha atenda tena kwa boss mwingine kuomba KIBUNDA ili aje asumbue raia wa DAR.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Joto ni kali sana kama vile jua limeshuka 10km. Ila kwa upande mwingine kuna watu wao na magari yao joto wanalisikia tu maanake hata magari yanalala vyumba vyenye AC na glass windows/doors!