Hela hazina umri mkuuView attachment 3137466
Kwa umri alionao, Hela alizonazo zinamtosha kabisa, 🙂🙂.
Hapo alikuwa petrol ⛽ station anagawa mafuta kwa boda - boda
Ni kweli kabisa.. Ila bwana mdogo tumuache ale maisha.. ☺️☺️☺️☺️☺️.Hela hazina umri mkuu
Upo sahih japo utofauti wa hulka zetu unapingana na usemacho.Enjoyment with reality
Tatizo wanajifanya motivational speakers na kupotosha wengiUpo sahih japo utofauti wa hulka zetu unapingana na usemacho.
Kuna watu akiwa na laki tu mfukoni ni mwendo wa show off mpaka basi, bt wengine hata awe na mzigo wa kutosha wala hana hata habari.
Ni kweli kabisa.. Ila bwana mdogo tumuache ale maisha.. ☺️☺️☺️☺️☺️.