Show ya Alikiba South Africa, iwe funzo kwa wasanii wa Bongo fleva

Mbona mkiboronga mnapenda kubadilisha gear angani

Kajiandae baada ya kubuma mkaikataaa

Aje remix baada ya kubuma mmeiita bonus track
Wakiboronga kina nani sasa au akili zenu zimekalia matimu yasio na viwanja wala mazoezi hayo aliyasema mwenyewe akihojiwa baada ya kupokea tu alisema atakua na club appearance kama ni show si viletwe video basi tuone
 
Wakiboronga kina nani sasa au akili zenu zimekalia matimu yasio na viwanja wala mazoezi hayo aliyasema mwenyewe akihojiwa baada ya kupokea tu alisema atakua na club appearance kama ni show si viletwe video basi tuone
Show imebuma upanick usipaniki show imebuma case closed
 
Ahahaaa mbona kama part 2 ya Dodoma.
Ukubwa zaidi ya tuzo kumbe ndo uko hivi.
 
Mnaolumbana hapa wengine ni kula kulala, wengine ni wafanyabiashara, wengine ni wafanyakazi wa mwisho wa mwezi mnaivuta weekend iishe mkatumike kwa waajiri wenu. Suala la msingi waswahili wanasema bora kupata kuliko kukosa kabisa. Je! Unamzidi kipato Alikiba? Una nyumba kama yeye? Una vitega uchumi kama yeye?
Nafikiri ni vema kushauri njia bora ya mtu kufanikiwa kuliko kumkatisha tamaa.
Ishu sio Mond au msanii mwingine yoyote lakini hebu fikiri uwezo wake Alikiba japo kidogo msanii kukaa likizo miaka 3 bila kutoa wimbo wowote na baada ya kuanza kuimba tena akafanikiwa kupenya kwenye soko la muziki na kutishia uwezo wa waliokuwepo!
Kwahiyo uwezo anao labda shida ni 'strategies' za kufika kimataifa ambazo anaweza pia kwasababu ni zakujifunza tu.
 
Ww upo kundi gani hapo
 
Wasanii wetu mara nyingi nje wanafanya show za kawaida kama hizi tu labda wapate bahati ya kufanya show inayowakutanisha wasanii wengi hasa wakiwepo wa West Africa ila toka ukanda huu wa EA hawana ubavu wakaenda nje ya zone yetu wakajaza uwanja wa mpira ivi ubavu huo wanao watoto wa Nigeria wa kufanya One man show kwenye viwanja vya michezo ila sisi tukomae kwenye clubs na hotels kwanza naamini si muda mrefu ubavu huo utakuja tu maana muziki wetu nao unakua kwa kasi ipo siku wasanii wetu watafanya tour za heshima kama Psquare,Davido,Wizkidayo and the like.
 
Acha siasa ww,alikiba karudi sio kwa sababu ya uwezo wake,kila mtu anajua karudishwa na haters wa diamond,na yeye akatumia jina la diamond kurudi,kubali kataa lkn km kawaida ya team kiba mnaishiaga kutukana mnapoambiwa ukweli.
 
Kwa east africa ni diamond tu ndo ana ubavu huo.
 
Kwa east africa ni diamond tu ndo ana ubavu huo.

Ashawahi fanya show yake mwenyewe wapi nje ya EA ambayo aliweka rekodi ya kujaza uwanja ivi kama ambavyo wale Psquare wanatuburuzaga wakija Bongo,kwa hapa home Diamond hiyo rekodi anayo sanaaaa nakubali.
 
Picha zilizowekwa ziko kishabiki sana, watu wamekatwa.
 
Imenifanya nitamani kuona picha zaidi
 
Ndio anaanza kujitangaza kimataifa........akaze buti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…