Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mkiboronga mnapenda kubadilisha gear anganiAcha kupotosha haikua show ilikua club appearance tu
Wakiboronga kina nani sasa au akili zenu zimekalia matimu yasio na viwanja wala mazoezi hayo aliyasema mwenyewe akihojiwa baada ya kupokea tu alisema atakua na club appearance kama ni show si viletwe video basi tuoneMbona mkiboronga mnapenda kubadilisha gear angani
Kajiandae baada ya kubuma mkaikataaa
Aje remix baada ya kubuma mmeiita bonus track
Kujua kwingi mbele kizaHivi Tatizo ni Nini Hasa? Promo? Msanii Hajulikani? Usawa Mgumu? Watu Wamepunguza Kuhudhuria Matamasha? Nini Tatizo Hasa?
Show imebuma upanick usipaniki show imebuma case closedWakiboronga kina nani sasa au akili zenu zimekalia matimu yasio na viwanja wala mazoezi hayo aliyasema mwenyewe akihojiwa baada ya kupokea tu alisema atakua na club appearance kama ni show si viletwe video basi tuone
Ww upo kundi gani hapoMnaolumbana hapa wengine ni kula kulala, wengine ni wafanyabiashara, wengine ni wafanyakazi wa mwisho wa mwezi mnaivuta weekend iishe mkatumike kwa waajiri wenu. Suala la msingi waswahili wanasema bora kupata kuliko kukosa kabisa. Je! Unamzidi kipato Alikiba? Una nyumba kama yeye? Una vitega uchumi kama yeye?
Nafikiri ni vema kushauri njia bora ya mtu kufanikiwa kuliko kumkatisha tamaa.
Ishu sio Mond au msanii mwingine yoyote lakini hebu fikiri uwezo wake Alikiba japo kidogo msanii kukaa likizo miaka 3 bila kutoa wimbo wowote na baada ya kuanza kuimba tena akafanikiwa kupenya kwenye soko la muziki na kutishia uwezo wa waliokuwepo!
Kwahiyo uwezo anao labda shida ni 'strategies' za kufika kimataifa ambazo anaweza pia kwasababu ni zakujifunza tu.
Hivi upo sawa kweli? Umeona tarehe hapo? Au hiyo poster inamzuia kufanya kitu kingine tofauti na show mimi nazungumzia maneno yake ya juzi wakati akipokea tuzo aliulizwa habari ya show kwa siku ya jana hilo ndio lilikua jibu lakeSoma hii poster useme tena
View attachment 471957
Fan wa kuaminika wa alikiba shilolekiuno anadai ilikua show.Acha kupotosha haikua show ilikua club appearance tu
Hlf ni mahodari wa kulalama.Mbona mkiboronga mnapenda kubadilisha gear angani
Kajiandae baada ya kubuma mkaikataaa
Aje remix baada ya kubuma mmeiita bonus track
Acha siasa ww,alikiba karudi sio kwa sababu ya uwezo wake,kila mtu anajua karudishwa na haters wa diamond,na yeye akatumia jina la diamond kurudi,kubali kataa lkn km kawaida ya team kiba mnaishiaga kutukana mnapoambiwa ukweli.Mnaolumbana hapa wengine ni kula kulala, wengine ni wafanyabiashara, wengine ni wafanyakazi wa mwisho wa mwezi mnaivuta weekend iishe mkatumike kwa waajiri wenu. Suala la msingi waswahili wanasema bora kupata kuliko kukosa kabisa. Je! Unamzidi kipato Alikiba? Una nyumba kama yeye? Una vitega uchumi kama yeye?
Nafikiri ni vema kushauri njia bora ya mtu kufanikiwa kuliko kumkatisha tamaa.
Ishu sio Mond au msanii mwingine yoyote lakini hebu fikiri uwezo wake Alikiba japo kidogo msanii kukaa likizo miaka 3 bila kutoa wimbo wowote na baada ya kuanza kuimba tena akafanikiwa kupenya kwenye soko la muziki na kutishia uwezo wa waliokuwepo!
Kwahiyo uwezo anao labda shida ni 'strategies' za kufika kimataifa ambazo anaweza pia kwasababu ni zakujifunza tu.
Kwa east africa ni diamond tu ndo ana ubavu huo.Wasanii wetu mara nyingi nje wanafanya show za kawaida kama hizi tu labda wapate bahati ya kufanya show inayowakutanisha wasanii wengi hasa wakiwepo wa West Africa ila toka ukanda huu wa EA hawana ubavu wakaenda nje ya zone yetu wakajaza uwanja wa mpira ivi ubavu huo wanao watoto wa Nigeria wa kufanya One man show kwenye viwanja vya michezo ila sisi tukomae kwenye clubs na hotels kwanza naamini si muda mrefu ubavu huo utakuja tu maana muziki wetu nao unakua kwa kasi ipo siku wasanii wetu watafanya tour za heshima kama Psquare,Davido,Wizkidayo and the like.
Kwa east africa ni diamond tu ndo ana ubavu huo.