Wewe ndo umedadavua viwanda vyetu n kujudge mtu huku anaingiza hela hana njaaaasubuhi hii mmeanza na majungu nyie watanzania wa viwanda...
Picha zilizowekwa ziko kishabiki sana, watu wamekatwa.
Mkuu umesahau ya zimbabwe na zambia,acha utani bana.Ashawahi fanya show yake mwenyewe wapi nje ya EA ambayo aliweka rekodi ya kujaza uwanja ivi kama ambavyo wale Psquare wanatuburuzaga wakija Bongo,kwa hapa home Diamond hiyo rekodi anayo sanaaaa nakubali.
Mkuu umesahau ya zimbabwe na zambia,acha utani bana.
Kajiona anavyopokelewa kenya kifalme akajua basi ni ulimwengu wote! Kalamba dume, a tafute manager aggressive atamnyanyua. Na pia ache kujiona kafikaAli kiba ni msanii mzuri isipokua yeye ajiona bora sana na tabia zake za kibongo kutotaka au kukubali bado kiwango chake kidogo na hataki kujifunza.tofauti na diamond. Hili ni funzo kwake na akina baraka na wa aina hiyo after all hata kwa tungo zao bado ni chache sana
hamnaa picha zilowekwa sio za kishabiki ata instra ya ali kiba pia zipo hzo hzoPicha zilizowekwa ziko kishabiki sana, watu wamekatwa.
Likizo au game lilimkaba akaenda bench kidogo kupasha kutafuta strategies zingne za kuja nazo na kinachombeba kba kinajulikana basi tu watu tunajifanya vpofuMnaolumbana hapa wengine ni kula kulala, wengine ni wafanyabiashara, wengine ni wafanyakazi wa mwisho wa mwezi mnaivuta weekend iishe mkatumike kwa waajiri wenu. Suala la msingi waswahili wanasema bora kupata kuliko kukosa kabisa. Je! Unamzidi kipato Alikiba? Una nyumba kama yeye? Una vitega uchumi kama yeye?
Nafikiri ni vema kushauri njia bora ya mtu kufanikiwa kuliko kumkatisha tamaa.
Ishu sio Mond au msanii mwingine yoyote lakini hebu fikiri uwezo wake Alikiba japo kidogo msanii kukaa likizo miaka 3 bila kutoa wimbo wowote na baada ya kuanza kuimba tena akafanikiwa kupenya kwenye soko la muziki na kutishia uwezo wa waliokuwepo!
Kwahiyo uwezo anao labda shida ni 'strategies' za kufika kimataifa ambazo anaweza pia kwasababu ni zakujifunza tu.