Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtutake radhi aisee. Wanyaki tuna pesa kama "muchangaaaaa"teh teh teh... wanyaki wabahili ehhee?
Music wa diamond hata 10,000 siingii.
Aliyesema Kyela wanaishi wanyaki pekee nani??Aliyekuambia kyela wanaishi wanyaki pekee ni nani?
Teh teh..Sio maneno yangu bana..Mi nimeuliza tu..Kauli ya jamaa imenichekeshaMtutake radhi aisee. Wanyaki tuna pesa kama "muchangaaaaa"
Mi bure tu siendiMusic wa diamond hata 10,000 siingii.
Huwezi jua mifukoni mwa watu mkuu,watu wana hela kwenye vibubu na leo ni siku ya kuvivunjaNIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio VIP tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
View attachment 363641
Big like[emoji122] [emoji122] [emoji122]Ukweli ni bora kusikiliza CD tu maana tukiacha ushabiki mimi siingii playback show hata siku moja halafu hata mziki wa playback Diamond sijaona kubadilika show zake ukiona moja kama umeona zote ni yale yale style zile zile ukweli not for me na sio Diamond wengi tu. Live music ndio real deal. Enzi za Shaggy alikuja Dar kapiga live utasema CD thats we call music. Lakini hawa mikono juu noooooo.
Piga keleleBig like[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Woyooooooooooo[emoji351] [emoji351] [emoji351]Piga kelele
Live band ndio mpango mzima,hii mambo ya kwenye shoo za pesa nyingi km hiyo halafu mara unaambiwa upige kelele km kichaa au ufanye mazoezi ya kunyoosha mikono hewani km unaita mvua siwezi,live band unakaa chini umetulia unapata burudaniWoyooooooooooo[emoji351] [emoji351] [emoji351]