Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

Show ya Diamond Mbeya, kiingilio Tshs 100,000

Kyela si ndo wamemaliza kuvuma mpunga huko?

Gunia mbili tu akiuza,anapata kiingilio.
 
Kwa mziki gan wa kutafuna maneno? Ndo uhesabu misimbazi 10? Yaan maneno yametafunwa halaf yanatokea puan!! Kwa kweli bongo flava badilikeni...nendeni shule ya mziki japo kujua kuwa ukiimba unapaswa kutamka maneno yasikike kwa ufasaha...
 
Music wa diamond hata 10,000 siingii.
CmtWqgkWgAAYThD.jpg
 
Lakini kumbuka kuwa yeye hajali watu wameingia au hawajaingia. Ameshalipwa chake.
Na kingine ni kuwa naamini muandaaji wa onyesho ilo sio mjinga kuweka kiingilio kikubwa.
 

Attachments

  • 1467839449293.jpg
    1467839449293.jpg
    102.6 KB · Views: 106
Ungelipiga picha hilo tangazo ndio ningeamini maneno yako.

Unachofanya ni kukimbiza watu wasiende hakuna lingine, umejaa wivu.

Diamond hawezi kuweka kiingilio kimoja esp huko, kama hiyo ni VVIP au VIP lazima kuna bei nyingine.

Uache kubwabwaja... ni wivu tu umekujaa kama kawaida yako juu ya Diamond.
 
show sio ukumbuni, inafanyika mwambao wa ziwa Nyasa , kuna uzinduzi wa hoteli ya ngonga beach ya Mzee Mwamunyange mkuu wa majeshi, kiingilio laki 1 VIP na wakawaida 20,000, pia kutakuwa na wasanii wengine Roma, Pam D , etc , ni show ya ufukweni mchana , kule kwa wanyakyusa wa Kyela 77 ni sikukuu kubwa zaidi ya pasaka na xmass
 
Ukweli ni bora kusikiliza CD tu maana tukiacha ushabiki mimi siingii playback show hata siku moja halafu hata mziki wa playback Diamond sijaona kubadilika show zake ukiona moja kama umeona zote ni yale yale style zile zile ukweli not for me na sio Diamond wengi tu. Live music ndio real deal. Enzi za Shaggy alikuja Dar kapiga live utasema CD thats we call music. Lakini hawa mikono juu noooooo.
 
Watu wanahalalisha umasikini wao kwa kutumia busara. Kama huna pesa ujue huna hiari baki nyumbani. Starehe gharama@Tunda Man
 
NIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio VIP tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu wakutoa laki moja kweli bora ingekuwa Mbeya Mjini hapo ningeelewa.
View attachment 363641
Huwezi jua mifukoni mwa watu mkuu,watu wana hela kwenye vibubu na leo ni siku ya kuvivunja
 
Ukweli ni bora kusikiliza CD tu maana tukiacha ushabiki mimi siingii playback show hata siku moja halafu hata mziki wa playback Diamond sijaona kubadilika show zake ukiona moja kama umeona zote ni yale yale style zile zile ukweli not for me na sio Diamond wengi tu. Live music ndio real deal. Enzi za Shaggy alikuja Dar kapiga live utasema CD thats we call music. Lakini hawa mikono juu noooooo.
Big like[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Woyooooooooooo[emoji351] [emoji351] [emoji351]
Live band ndio mpango mzima,hii mambo ya kwenye shoo za pesa nyingi km hiyo halafu mara unaambiwa upige kelele km kichaa au ufanye mazoezi ya kunyoosha mikono hewani km unaita mvua siwezi,live band unakaa chini umetulia unapata burudani
 
Back
Top Bottom