Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Kuhusu kulipia show
===========

Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu




====================

Kuhusu performance ya kuwa nzuri

=====================


==================

Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri

================

 
Jamaa kaona isiwe kesi,Kiki Hakuna Kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu

View attachment 1459491
Mhhhhhh Kingereza kwako kigumu.
🤣🤣🤣.

Hiyo show wamechaguliwa wasanii wakubwa wanao fanya vizuri ktk music industry ya Africa kwa ajili ya kuchangisha hela kwa waathirika wa Covid19 ina lenga watoto wa Africa.

Dah kweli leo ndio nimekuelewa vizuri,yaani unamchukia mtu mpaka sehemu zisizohusika,yaani wewe ukiambiwa umtengenezee sumu Diamond kwa jinsi ulivyo na roho mbaya utaionja kwanza alafu utampa.

Soma post hizo uzielewe na si kukurupuka.
 
Jamaa na wivu wa kike kike...isije kuwa ni ke...😁
 
Hizi simu zimefanya iwe rahisi kukutana na wapumbavu,msamehe tu!!
 
Nyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize

Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..

Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
 
We jamaa unaongea kama hauna akili mzee
Sasaa diamond ndo wakuwalipa MTV????
Kwa kusema hivo unataka kutuaminisha na nandy nae alikubali kulipa au alilipiwa???
 
Dish limeyumba,mbaya zaidi nati zimedondoka,kwa hiyo mpaka kuli-fix inahitajika kazi na nguvu ya ziada.

Daah pole muda unaopoteza atleast ungetafuta kitabu chenye story za Mr&Mrs Daudi ukisome atleast ujue Kingereza hata cha kuombea maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…