Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Dish limeyumba,mbaya zaidi nati zimedondoka,kwa hiyo mpaka kuli-fix inahitajika kazi na nguvu ya ziada.

Daah pole muda unaopoteza atleast ungetafuta kitabu chenye story za Mr&Mrs Daudi ukisome atleast ujue Kingereza hata cha kuombea maji.
Mkuu ukijua ukweli utakuja hapa kunipongeza..
 
Katika kupitia list ya Wasanii watakao Perform Naona Diamond na Nandy ndo kama Ma-Underground
 
Mond anachngisha pesa ya covid? Kwqni makonda hajawaambia kuwa ameimaliz korona?
 
πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Leta ushahidi Aminakiba
 
Nimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.

Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Twitter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio tayari kashajiweka sokoni.

Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni AKA naye kafanya poa ila niseme ukweli Burna Boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aseeeeeeeh chezea kuogopa kukosa bundles weyeeeeeee. Hovyooooooooh ile n perfomance au utopolo? Khaaaaaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
team mafisi watakuja soon kuponda tena kama ilivo ada
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…