Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Mnavompamba huyo mond utafikiri kuimba anajuuuua kumbe kawaida tu msipaishe kihivyoooo Hana lolote zaidi ya ujanja ujanja
 
Kama ulikuwa hujui huko kukata mauno na kucheza cheza ndio kunamfanya awe tofauti na wasanii wengine kwenye Stage .....Nakuhakikishia Huyo Burmaboy hana uwezo wa kumshinda Diamond platnumz on stage hana.
Usije rudia tena kumfananisha fundi burna boy na huyu kigagula DIAMOND burna boy ni kiumbe wa sayari nyingne mbali sans
 
Kama ulikuwa hujui huko kukata mauno na kucheza cheza ndio kunamfanya awe tofauti na wasanii wengine kwenye Stage .....Nakuhakikishia Huyo Burmaboy hana uwezo wa kumshinda Diamond platnumz on stage hana.

Kama kukata mauno sawa, ila sio performance general ya stage

It is never too late to begin. Start now
 
sure yaani mtu anapiga show england kwenye uwanja unaojaza watu 20000 na watu wana kubali. ..halafu kuna wabongo huku wapo mchambawima wanasema burna hajui kupiga show

aise kupata vichekesho kama hivi bofya *130*12#
 
Kabadilika

Diamond wa mbagala na kamwambie hakuwa anajua kucheza wala kiingereza kizuri

Akajifunza, akabadilika anaweza kucheza, kumiliki jukwaa na anajiamini balaa

Napenda mtu kubadilika na sio kuwa vile vile kwa miaka kumi....

Ni mfano wa kuigwa

Ila kwa sisi wazee bado my no. One artist bongo ni Ali kiba, najaribu sana kuuzuia moyo ila haiwezekani

Nadhani pia utakubaliana na moyo wangu, japo ukweli Diamond he is creative, anatafuta hela, katumwa hela mjini...he is just good

Hapo kwa burnaboy, umekosea....

Dance moves za diamond hata wimbo ww karantini ni za USA late 90s hakuna dance moves zake yeye

Burnaboy ni mwimbaji sio mcheza shoo
 
dah bora ungekaa kimya tu ,sasa ndio umeyavuruga kabisa,
 
ila niseme ukweli burna boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
Burna ndo zake. Move zake anazijua yeye mwenyewe !!!
Your browser is not able to display this video.

...!!!
 
sure yaani mtu anapiga show england kwenye uwanja unaojaza watu 20000 na watu wana kubali. ..halafu kuna wabongo huku wapo mchambawima wanasema burna hajui kupiga show

aise kupata vichekesho kama hivi bofya *130*12#

Mkuu tuishi nao tuu hakuna namna watu wanakaza ubongo

It is never too late to begin. Start now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…