Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Nimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.

Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Twitter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio tayari kashajiweka sokoni.

Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni AKA naye kafanya poa ila niseme ukweli Burna Boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
Hakuna kavideo kakusindikizia thread?,sio wote tuna access ya channel ya Mtv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.

Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Twitter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio tayari kashajiweka sokoni.

Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni AKA naye kafanya poa ila niseme ukweli Burna Boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
Ila kawa nominated Grammy..sifa za kijinga
 
MTV base Africa mapopo wanaweza kufanya chochote..wanapendelea wanaija nk
 
We jamaa unaongea kama hauna akili mzee
Sasaa diamond ndo wakuwalipa MTV????
Kwa kusema hivo unataka kutuaminisha na nandy nae alikubali kulipa au alilipiwa???
Siku zote huyu njemba nilijua ni mpinzani tu Diamond pekee. Sikujua kama ni mshamba kihivi. Ameumbuka vibaya

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Ila kawa nominated Grammy..sifa za kijinga
Ana nyimbo nzuri nazani ndio kilichombeba kwenye Grammy ila kwenye performance ya stage sio mzuri kwenye show ya jana kafanya kawaida Sana pale ndio alitakiwa anaoneshe umwamba
 
Back
Top Bottom