Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna comment yoyote yenye jibu la swali langu Hapo JUU?soma comment tu basis,usitutie aibu
ThanksYah ilikuwa live
konde boy je vipi huko wakuu anaendeleaje
Burnaboy kazingua Sana Hadi Davido kamfunika kwenye Top 3 ya waliochemsha kwa upande wangu jamaa anashika namba 3 namba 2 sho madjoz wa kwanza Ni Nandi.Burna Boy alifanya upupu tu.
Sent From Galaxy S20 Ultra
nsawa sawa mbee😂😂Mmakonde anachonga vinyago bwashee.
Hainistui. [emoji276]
Hakuna kavideo kakusindikizia thread?,sio wote tuna access ya channel ya MtvNimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.
Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Twitter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio tayari kashajiweka sokoni.
Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni AKA naye kafanya poa ila niseme ukweli Burna Boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
Atasema nini wakati alifungua Uzi wa kumponda kuwa amenunua airtime MTV jamaa hajui lugha ya malikiaMwiteni Robidinyo atoe comment tafadhali
Kwani uliangalia show?
Burnaboy alizingua Sana ukipitia kwenye page yake ya Instagram anapondwa Sana na mashabiki kwa show mbovu aliyoonesha labda ukuangalia show yake ndo maana unamtetea.Show ndio nini
It is never too late to begin. Start now
Baada ya kuona Uzi kabla sijakoment kitu nikaenda kuiangalia io performance kusema kweli ya kawaida Sana hata comment nyingi ni wabongo ndio wanao comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kawa nominated Grammy..sifa za kijingaNimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.
Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Twitter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio tayari kashajiweka sokoni.
Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni AKA naye kafanya poa ila niseme ukweli Burna Boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
Siku zote huyu njemba nilijua ni mpinzani tu Diamond pekee. Sikujua kama ni mshamba kihivi. Ameumbuka vibayaWe jamaa unaongea kama hauna akili mzee
Sasaa diamond ndo wakuwalipa MTV????
Kwa kusema hivo unataka kutuaminisha na nandy nae alikubali kulipa au alilipiwa???
Tatizo baba yetu ndo katuponza 😀 😀 😀 😀 😀Jamaa kaona isiwe kesi,Kiki Hakuna Kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu
View attachment 1459491
Ana nyimbo nzuri nazani ndio kilichombeba kwenye Grammy ila kwenye performance ya stage sio mzuri kwenye show ya jana kafanya kawaida Sana pale ndio alitakiwa anaoneshe umwambaIla kawa nominated Grammy..sifa za kijinga