1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa leo wamejisahau kunakipindi wanakiita 100% Nigeria music ambacho huwa wanapiga mziki wa nigeria tu wakapiga na nyimbo za DiamondMTV base Africa mapopo wanaweza kufanya chochote..wanapendelea wanaija nk
Mshiko kamanda jamaa yuko radhi kufanya chochotesasa leo wamejisahau kunakipindi wanakiita 100% Nigeria music ambacho huwa wanapiga mziki wa nigeria tu wakapiga na nyimbo za Diamond
kawakoroga ucku wa jana
Jamaa hayupo serious hii show imemshusha CV yake hazipokuwa makini rank yake itashuka ukishakuwa mkubwa unatakiwa umaintain ukubwa wako we si umeona mtoto wa Tandale akufanya masiala kabisa kupitia show hii jamaa atapata opportunity nyingi Sana.huyu burna boy kawaje tena mbona wa hovyo sana kweli hata kumita hanscana kweli alishindwa video mbaya low quarty
Unaongeleaje performance ya nandy Jana?Kabadilika
Diamond wa mbagala na kamwambie hakuwa anajua kucheza wala kiingereza kizuri
Akajifunza, akabadilika anaweza kucheza, kumiliki jukwaa na anajiamini balaa
Napenda mtu kubadilika na sio kuwa vile vile kwa miaka kumi....
Ni mfano wa kuigwa
Ila kwa sisi wazee bado my no. One artist bongo ni Ali kiba, najaribu sana kuuzuia moyo ila haiwezekani
Nadhani pia utakubaliana na moyo wangu, japo ukweli Diamond he is creative, anatafuta hela, katumwa hela mjini...he is just good
Hapo kwa burnaboy, umekosea....
Dance moves za diamond hata wimbo ww karantini ni za USA late 90s hakuna dance moves zake yeye
Burnaboy ni mwimbaji sio mcheza shoo
mkuu ya nand sijaiona kama vip tupia link ya video yake akiwa anapuyangaJamaa hayupo serious hii show imemshusha CV yake hazipokuwa makini rank yake itashuka ukishakuwa mkubwa unatakiwa umaintain ukubwa wako we si umeona mtoto wa Tandale akufanya masiala kabisa kupitia show hii jamaa atapata opportunity nyingi Sana.
Nenda kwenye YouTube yao ya MTV base utaona show nzima ya wasanii wote ikiwemo ya nandy utaona nandy anaimba Kama vile kalazimishwamkuu ya nand sijaiona kama vip tupia link ya video yake akiwa anapuyanga
😂 😂 😂 😂 😂Nenda kwenye YouTube yao ya MTV base utaona show nzima ya wasanii wote ikiwemo ya nandy utaona nandy anaimba Kama vile kalazimishwa
HAHAAA NIMEIONA YAANI ZERO KBSA SIJUI bilnass alikuwa katoka kupiga pushup😀😀Nenda kwenye YouTube yao ya MTV base utaona show nzima ya wasanii wote ikiwemo ya nandy utaona nandy anaimba Kama vile kalazimishwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣HAHAAA NIMEIONA YAANI ZERO KBSA SIJUI bilnass alikuwa katoka kupiga pushup😀😀
mnaponiambia Burnaboy ananyimbo nzuri hapo ndipo huwa siwaelewi.Ana nyimbo nzuri nazani ndio kilichombeba kwenye Grammy ila kwenye performance ya stage sio mzuri kwenye show ya jana kafanya kawaida Sana pale ndio alitakiwa anaoneshe umwamba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa
mnaponiambia Burnaboy ananyimbo nzuri hapo ndipo huwa siwaelewi.
Labda mziki wake ni mzuri mkiwa kwenye vilabu vya ulanz kidogo ile nyimbo inaitwa Angelina nyenginezo kwangu ni kelele tu
n kama anaimba nje ya beat hv yan cmuelewielewi
nnachomsifu amejijengea identity yake anamziki wa peke yake labda wengine wamuige kama alivyo fanya Nuhu mziwanda
mke wa mtu huyo shekhe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] dah haya mahaba ya dhati uliyonayo kwa mwanaume mwenzio hayaelezeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wapo kazini,Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa