Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

MTV base Africa mapopo wanaweza kufanya chochote..wanapendelea wanaija nk
sasa leo wamejisahau kunakipindi wanakiita 100% Nigeria music ambacho huwa wanapiga mziki wa nigeria tu wakapiga na nyimbo za Diamond
kawakoroga ucku wa jana
 
sasa leo wamejisahau kunakipindi wanakiita 100% Nigeria music ambacho huwa wanapiga mziki wa nigeria tu wakapiga na nyimbo za Diamond
kawakoroga ucku wa jana
Mshiko kamanda jamaa yuko radhi kufanya chochote
 
huyu burna boy kawaje tena mbona wa hovyo sana kweli hata kumuita hanscana kweli alishindwa video mbaya low quarty
 
huyu burna boy kawaje tena mbona wa hovyo sana kweli hata kumita hanscana kweli alishindwa video mbaya low quarty
Jamaa hayupo serious hii show imemshusha CV yake hazipokuwa makini rank yake itashuka ukishakuwa mkubwa unatakiwa umaintain ukubwa wako we si umeona mtoto wa Tandale akufanya masiala kabisa kupitia show hii jamaa atapata opportunity nyingi Sana.
 
Kabadilika

Diamond wa mbagala na kamwambie hakuwa anajua kucheza wala kiingereza kizuri

Akajifunza, akabadilika anaweza kucheza, kumiliki jukwaa na anajiamini balaa

Napenda mtu kubadilika na sio kuwa vile vile kwa miaka kumi....

Ni mfano wa kuigwa

Ila kwa sisi wazee bado my no. One artist bongo ni Ali kiba, najaribu sana kuuzuia moyo ila haiwezekani

Nadhani pia utakubaliana na moyo wangu, japo ukweli Diamond he is creative, anatafuta hela, katumwa hela mjini...he is just good

Hapo kwa burnaboy, umekosea....

Dance moves za diamond hata wimbo ww karantini ni za USA late 90s hakuna dance moves zake yeye

Burnaboy ni mwimbaji sio mcheza shoo
Unaongeleaje performance ya nandy Jana?
 
Jamaa hayupo serious hii show imemshusha CV yake hazipokuwa makini rank yake itashuka ukishakuwa mkubwa unatakiwa umaintain ukubwa wako we si umeona mtoto wa Tandale akufanya masiala kabisa kupitia show hii jamaa atapata opportunity nyingi Sana.
mkuu ya nand sijaiona kama vip tupia link ya video yake akiwa anapuyanga
 
Ana nyimbo nzuri nazani ndio kilichombeba kwenye Grammy ila kwenye performance ya stage sio mzuri kwenye show ya jana kafanya kawaida Sana pale ndio alitakiwa anaoneshe umwamba
mnaponiambia Burnaboy ananyimbo nzuri hapo ndipo huwa siwaelewi.
Labda mziki wake ni mzuri mkiwa kwenye vilabu vya ulanz kidogo ile nyimbo inaitwa Angelina nyenginezo kwangu ni kelele tu
n kama anaimba nje ya beat hv yan cmuelewielewi
nnachomsifu amejijengea identity yake anamziki wa peke yake labda wengine wamuige kama alivyo fanya Nuhu mziwanda
 
Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Burnaboy kweli nyimbo zake za hovyo sijui kwanini amekubalika
 
Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa
Watu wapo kazini,

Unafikiri mtoa mada hajui kama diamond hakamatiki? Analijua sana ila sasa yeye team K, na hii ID yake wenzake wanaifaham, katu hatojaribu kuposti chochote kile kizuli ktk kwa Mondi,

Kwa hichi alicho post tayari kashaingiza pesa, tusimlaum sana,

Mziki uko ivo Lazima kuwe na vuta nikuvute,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom