wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
hivi sifa ya msanii wa bongo ni kutokujua kuandika vizuri?
Ni kama vile walinzi wa kwny bongo movies wanavyotakiwa kuigiza kama mataahira flani hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi sifa ya msanii wa bongo ni kutokujua kuandika vizuri?
Itakua ni moyo wa kijeshi huo [emoji2]From my Hart? Alikuwa anamaanisha nini, Kevin Hart au?
Harmonize aache longolongo atupe sabbbu za maana ni kawaida yake akikosa watu analeta visingizio, show kibao tu hua anaahirisha na kutoa sababu za uongo
Mfano mzuri ni show ya muleba alisingizia mvua kumbe watu hawakutokea mfano mwingine ni show mbili za huko Kenya, Watu wa mbeya mkuje aiseee mtuthibitishie hili.
Bloken ndio nini kwa wewe mjuzi wa lugha ya malkiaHuu ulimbukene wa kujifanya mmarekani kujifanya unajua lugha ya malikia check iyo bloken Sasa 😎😎😎
Traying sijui ni nin
Hart sijui anamaisha yule kervin hart 🤔🤔🤔
kabla ya kumkosoa mwenzako jichunguze mwenyewe kwanza...malikia❌....bloken❌Huu ulimbukene wa kujifanya mmarekani kujifanya unajua lugha ya malikia check iyo bloken Sasa 😎😎😎
Traying sijui ni nin
Hart sijui anamaisha yule kervin hart 🤔🤔🤔
Kuna watu walikuwa wanatafutwa,bahati nzuri Kamanda ka clear vizuri kabisa.
Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa.
Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia.
Ameandika bado hajabahatika kujua sababu ni nini!
View attachment 1365597
Sikiliza hii clip pia Harmonize akipewa taarifa.
Angewaimbia ile nyimbo ya kumsifia magufuli polisi!wasingemzuia!huyo ni mwanajesh feki iweje apangiwe chakufanya na police??
Hujaona "traying" nayo badala ya "trying". Angeandika kiswahili angeeleweka vema.From my Hart? Alikuwa anamaanisha nini, Kevin Hart au?
Kuna watu walikuwa anatafutwa,bahati nzuri Kamanda ka clear vizuri kabisa.
From my Hart? Alikuwa anamaanisha nini, Kevin Hart au?
Jamaa kaandika Upupu.... Hata Kiswahili kinamsumbua.... Kama vipi aandike KimakondeHuu ulimbukene wa kujifanya mmarekani kujifanya unajua lugha ya malikia check iyo bloken Sasa [emoji41][emoji41][emoji41]
Traying sijui ni nin
Hart sijui anamaisha yule kervin hart [emoji848][emoji848][emoji848]