Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

Harmonize aache longolongo atupe sabbbu za maana ni kawaida yake akikosa watu analeta visingizio, show kibao tu hua anaahirisha na kutoa sababu za uongo
Mfano mzuri ni show ya muleba alisingizia mvua kumbe watu hawakutokea mfano mwingine ni show mbili za huko Kenya, Watu wa mbeya mkuje aiseee mtuthibitishie hili.
 
Hata ya jana naskia show iliendelea sema watu kisoda ..ndio amekuja na mambo ya police saiz
Harmonize aache longolongo atupe sabbbu za maana ni kawaida yake akikosa watu analeta visingizio, show kibao tu hua anaahirisha na kutoa sababu za uongo
Mfano mzuri ni show ya muleba alisingizia mvua kumbe watu hawakutokea mfano mwingine ni show mbili za huko Kenya, Watu wa mbeya mkuje aiseee mtuthibitishie hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adjustments.JPG
Adjustments.JPG
 
Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa.

Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia.

Ameandika bado hajabahatika kujua sababu ni nini!

View attachment 1365597

Sikiliza hii clip pia Harmonize akipewa taarifa.

Naona umekimbia thread yako.
 
Back
Top Bottom