Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe ndio Aristote ?Kaingia uwanjani kwa kamba kijeshi jeshi,toka juu ya paa la uwanja hadi kwenye pitch very risk but ndo vionjo vyenyewe hivyo.....show bado inaendelea japokua hadi sasa bado hajaleta amsha amsha tulizotarajia.View attachment 1553432
Mondo mwenyewe alisema hatarudia tena ile safari aliiona Kama anaenda sayari ya Mars, Hadi anatua alishamaliza swala zoteMe ni mshabiki wa simba tena Simba wote wawili yani timu ya mpira na raisi wa muziki wa Tz ila kwa alichofanya Konde tumpongeze. Kwanza me kipindi cha shoo ya Chibu simba day nilijuwa kazi kwisha baada ya kushuka na Chopa ko nilvyoskia Uto wanamualika Harmo nilikuwa najiuliza kitu gani atafanya cha tofauti?. Na jana alivyoshuka na helicopter ndo nikajua ataingia nayo leo ko me macho yote ilikuwa kuangalia ataingiaje uwanjani tu! ..ko kwa alichofanya ametu surprise wengi Hongera zake. Afu mtoa mada anasema "hata ajashangiliwa " duh! Kweli? Jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni tuachane na chuki binafsi tujivunie kupata wasanii wabunifu kama Mond na Harmo wanachangamsha sana nchi
Atakuja kufa huyu kwa kutaka kumpindua mondi.
Safari ipi?Mondo mwenyewe alisema hatarudia tena ile safari aliiona Kama anaenda sayari ya Mars, Hadi anatua alishamaliza swala zote
Bongo nyoso sana mkuu,actually ile kwanza sio kuanguka kama wanavyosema ila ndo ilitakiwa ashuke vile kutoka juu kwenye kamba,hebu fikiria angeshukaje kama sio kwa style ile??michael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!
Bongo nyoso sana mkuu,actually ile kwanza sio kuanguka kama wanavyosema ila ndo ilitakiwa ashuke vile kutoka juu kwenye kamba,hebu fikiria angeshukaje kama sio kwa style ile??
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Tatizo ushindanimichael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!
Ebu kuwa serious mzeeMbona keshampindua...Au unasubiri mpaka utangaziwe?