Show ya Harmonize Yanga Day

Show ya Harmonize Yanga Day

Me ni mshabiki wa simba tena Simba wote wawili yani timu ya mpira na raisi wa muziki wa Tz ila kwa alichofanya Konde tumpongeze. Kwanza me kipindi cha shoo ya Chibu simba day nilijuwa kazi kwisha baada ya kushuka na Chopa ko nilvyoskia Uto wanamualika Harmo nilikuwa najiuliza kitu gani atafanya cha tofauti?. Na jana alivyoshuka na helicopter ndo nikajua ataingia nayo leo ko me macho yote ilikuwa kuangalia ataingiaje uwanjani tu! ..ko kwa alichofanya ametu surprise wengi Hongera zake. Afu mtoa mada anasema "hata ajashangiliwa " duh! Kweli? Jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni tuachane na chuki binafsi tujivunie kupata wasanii wabunifu kama Mond na Harmo wanachangamsha sana nchi
 
Lakini yule Kijana ni mvumilivu kweli kweli. Pale lazima aliumia kimtindo ila akapiga kimya na kuendelea na show.

Siku nyingine aache huo ujinga wa kuharibu shughuli za watu. Kama mimi ndio kiongozi mkuu wa Yanga ningeamuru Kondeboy asilipwe hata senti tano.
 
Me ni mshabiki wa simba tena Simba wote wawili yani timu ya mpira na raisi wa muziki wa Tz ila kwa alichofanya Konde tumpongeze. Kwanza me kipindi cha shoo ya Chibu simba day nilijuwa kazi kwisha baada ya kushuka na Chopa ko nilvyoskia Uto wanamualika Harmo nilikuwa najiuliza kitu gani atafanya cha tofauti?. Na jana alivyoshuka na helicopter ndo nikajua ataingia nayo leo ko me macho yote ilikuwa kuangalia ataingiaje uwanjani tu! ..ko kwa alichofanya ametu surprise wengi Hongera zake. Afu mtoa mada anasema "hata ajashangiliwa " duh! Kweli? Jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni tuachane na chuki binafsi tujivunie kupata wasanii wabunifu kama Mond na Harmo wanachangamsha sana nchi
Mondo mwenyewe alisema hatarudia tena ile safari aliiona Kama anaenda sayari ya Mars, Hadi anatua alishamaliza swala zote
 
michael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!
Bongo nyoso sana mkuu,actually ile kwanza sio kuanguka kama wanavyosema ila ndo ilitakiwa ashuke vile kutoka juu kwenye kamba,hebu fikiria angeshukaje kama sio kwa style ile??

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
ngoja niitafute hiyo video nicheki mkuu,sijaiona ila mitandaoni kila kona watu wanamsema na kumcheka.hawafanyi poa kabisa ,tatizo letu Tanzania huwa hatu appreciate vipaji,hata Ngwea wakati yupo hai watu walimchukulia poa tu
 
Back
Top Bottom