Show ya Harmonize Yanga Day

Show ya Harmonize Yanga Day

Lengo lilikuwa na kunogesha shughuli ya wananchi..

Hizo habari za sijui asifanane na boss wake ( Kwanza boss wake ni Jembe ) unazitoa wapi. Punguza mahaba bwana mdogo.

Hunaga jema kwa wasanii tofauti na diamond. Unaendeshwa na mahaba. Ajabu sana kwa mtoto wa kiume kuendeshwa na mahaba, unless uvinasaba vya uJuma Lokole ama uCocastica.

Mziki ni zaidi ya kupaka poda na kuvaa hereni. Harmonize kawakumbusha wasanii wenzake. Nadhani ni wa kwanza kufanya hivyo..

Unasema ampite kwa lipi..? Upo sreouz?

Sipo kuwalinganisha, ila paka sasa Harmonize ameweza kuimba live events nyingi tofaut na huyo jamaa ako MZEE wa play back. Mziki umebadirika..

Kelele staging badala ya kufanya kilichokupeleka.

Ngoja niishie hapa..

Kikubwa mpongeze mshkaji wa uthubutu..
Harmonize Ni anaiga iga vitu vingikwa aliyekuwa boss wake Diamond sasa utasemaje awe mfano kwa wanamziki wengine.
 
Kwenye malipo yake akatwe,yani kamba ndo wanalazimisha iwe helcopter?
sio kulazimisha tu hapana ila kwamfano angedondoka kutoka futi 20 ingekuwaje????ubunifu unahtajika lakini mmmhhh lazima kuwa makini kdgo napo
 
Harmonize Ni anaiga iga vitu vingikwa aliyekuwa boss wake Diamond sasa utasemaje awe mfano kwa wanamziki wengine.
si anpambwa na wale wa kule wanajiita mjengoni sijui ..ukikuta anavozungumzwa na watangazaji wa lile station basi kichwa kinakuwa kikubwa sana
 
Back
Top Bottom