SHow ya Wema sepetu. EATV

SHow ya Wema sepetu. EATV

ajipange upya kama ndio kitakuwa vile duhh!! hakuna mvuto kabisa.
 
mie nimeshindwa kukielewa kabisaaaaaaaaaaaa...you know nyingiii wewe....

may be with time wanaweza kukiboresha ila kwa leo hapana

anahitaji kuelimishwa haraka... Sijui ni nani kampotosha ku swanglish saana ndo ujanja... Wanakazi sana ma celebrities wa bongo.

Alikera sana jana..
 
anahitaji kuelimishwa haraka... Sijui ni nani kampotosha ku swanglish saana ndo ujanja... Wanakazi sana ma celebrities wa bongo.

Alikera sana jana..

Aongee moja watu tumuelewe..mie nilikuwa nakisubiria kwa ham

lakin kilikuwa out of my expectation
 
avator hii vp
 

Attachments

  • 1392008_190112137839505_1209921277_a.jpg
    1392008_190112137839505_1209921277_a.jpg
    6.1 KB · Views: 932
Kumbe bora hata sikuangalia nilikuwa nataman sana niangalie lkn vpnd vikaingilia.
 
Is this grammatical right??? Nahisi ingeapaswa iwe Dstv will never bore you


angeandika kiswahili tu angeeleweka....kujichetua kote huko kiingereza chenyewe hajui aibu tupu....
 
Back
Top Bottom