Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 101
haaaaahaaa haaaaahaa au siyo aseme bhananimekuuliza unaangalia vipindi gani vya nje?achana na habari za Dstv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaahaaa haaaaahaa au siyo aseme bhananimekuuliza unaangalia vipindi gani vya nje?achana na habari za Dstv
haaaaahaaa haaaaahaa au siyo aseme bhana
kwani wewe kipindi umekionaje kizuri au kibayaJamani wabongo tukoje, muacheni binti wa watu. Amejaribu na ndo kwanza kimerushwa mara ya kwanza mmeanza kuponda. Kwa nini usitoe ushauri basi kuwa ungefanya hivi labda kingependeza au ungetoa kitu flani kingependeza zaidi kuliko konyesha chuki namna hiyo. Na wengi mnaonekana mna chuki sana na Wema! Ila haisaidii.
teh teh teh..nimecheka hiyo "pyuuuuu".mkasi kina nafuu mara buku 7, yaaani nimecheka,ngeli ya kuunga unga,umarekani mwiiiingi, code mixing na code swiching za kufa mtu, ha haa, ni ya kitoto bora kukaA na kuangalia KIRIKOU kuliko hii show,poor creativity,pyuuuuu!
over
Mimi na kiswanglish ni tofauti kabsa. Kuna yule demu wa hotmix yani anakera haswa. Kiingerezani hayupo.kiswahilini hapatikani. Wema kaongeza janga jingne.
Kinahusu nini hicho kipindi?
best kuna muda amewataja vanny na guchi ndio kina nani hao?maisha yake binafsi nahisii
best kuna muda amewataja vanny na guchi ndio kina nani hao?
Ni mbwa wake mkuu wale anaowafanyiaga shoping China
duuuh watu wana matusi. mi nilifikiri sijui ni watu gani kumbe mbwa? kweli celebrity kazi.
Tv za nje unaangaliaga nini?
best kuna muda amewataja vanny na guchi ndio kina nani hao?