SHow ya Wema sepetu. EATV

Hata ukiangalia muvi tu inatosha. Hata mm za apa taarifa ya habari tu.

Kheri hata niangalie cartoon network na my kids

Basi vipindi dizaini hii sio hobby yako...waachie wanaovipenda.
 
ajipange upya kama ndio kitakuwa vile duhh!! hakuna mvuto kabisa.
 
mie nimeshindwa kukielewa kabisaaaaaaaaaaaa...you know nyingiii wewe....

may be with time wanaweza kukiboresha ila kwa leo hapana

anahitaji kuelimishwa haraka... Sijui ni nani kampotosha ku swanglish saana ndo ujanja... Wanakazi sana ma celebrities wa bongo.

Alikera sana jana..
 
anahitaji kuelimishwa haraka... Sijui ni nani kampotosha ku swanglish saana ndo ujanja... Wanakazi sana ma celebrities wa bongo.

Alikera sana jana..

Aongee moja watu tumuelewe..mie nilikuwa nakisubiria kwa ham

lakin kilikuwa out of my expectation
 
avator hii vp
 

Attachments

  • 1392008_190112137839505_1209921277_a.jpg
    6.1 KB · Views: 932
Kumbe bora hata sikuangalia nilikuwa nataman sana niangalie lkn vpnd vikaingilia.
 
Is this grammatical right??? Nahisi ingeapaswa iwe Dstv will never bore you


angeandika kiswahili tu angeeleweka....kujichetua kote huko kiingereza chenyewe hajui aibu tupu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…