Wu-Ma
Senior Member
- Dec 1, 2017
- 113
- 277
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo
Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia
Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia