Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Kwa music upi wa Zuchu wakujaza Watu kwenye show? Hiyo kudandiana na Diamond au Sukari na nakupenda Mimi!;Arudi tu aje atuimbie huku Buza Kwa lulenge.Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo
View attachment 2421250
Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia