Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Hata apige Show 100000 .. Asilimia kubwa zinaenda kwa Boss wake... Yeye anabaki na Hela za Kula na Kulala

Wasanii wa Wasafi Hakuna Wanaojitamba Kumiliki Vitu vyao Zaidi ya Kumilikishwa tu na Wasafi na Wajitoa wanaanza Upya
Kwani we inakuuma nini mkuu kama hiyo hela anapata bosi wake yeye hapati si ndio maamuzi yake
 
Zuchu some how anajua kingereza tena kibongo bongo anaflow vizur Sana , sjui Kwa nn anashindwa kuimba na kutunga nyimbo za kingereza , kimataifa kutoboa bila nyimbo za ngeli ni ngumu .... Ukweli nyimbo zake nyingi ni za waswahili tena walio poorly educated ndo wanazipenda na wengi wao wamerundikana East Africa....

Soko la mziki Tanzania bila ubishi limeanza kukua lakini kutoboa kimataifa huwez kuikwepa international language .... Namuona Nia anayo na upepo anao akubali kujifunza zaidi one day atajaza
 
Back
Top Bottom