Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Mbona picha zinaoneshwa kihuni?
Audiece haioneshwi vyema ni kama kuna agenda ya siri
 
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo

View attachment 2421250

Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia

Carrier instead of Career, Wasanii wa Bongo ni weupe sana, ila ujuaji sasa!

Juzi hapa Nandi kaandika, sijui kufokea ma PARODY wa mtandao, ni hovyo hovyo tu.

Nyie wasanii, mrudi shule kenge nyie tuhela mnato shida Elimu.
 
Hehe kale katusi mbona kameyeyuka
 
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo

View attachment 2421250

Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia
You dont talk of your failure in social media, thats just wrong for a star
 
Anaacha kupiga shoo hukj Mtwara, Lindi, Manyara, Ruvuma, Songwe nk ambako anafahamika na kukubalika vyema halafu anakwenda huko Marekani ambako hawana shobo naye, show idode halafu ashangae.
Atulie sasa.
We mbona mkuranga hujapataja na kule kwao paje
 
Marekani mwanamuziki wa kike anaeweza jaza angalau kiasi ni huyu mtoto Abby Chams tu, Vanessa mdee nae engeweza ila alikata tamaa mapema.

Huyu muimba taarabu labda abadili style ya uimbaji, kwa africa atajaza ila mambele ni ngumu sana
Vanessa mdee alochoka kutiwa kila siku ndo upate umaarufu akaona atakigawa sana mpka kichakae akasepa kujituliza na rotimi
 
Hata apige Show 100000 .. Asilimia kubwa zinaenda kwa Boss wake... Yeye anabaki na Hela za Kula na Kulala

Wasanii wa Wasafi Hakuna Wanaojitamba Kumiliki Vitu vyao Zaidi ya Kumilikishwa tu na Wasafi na Wajitoa wanaanza Upya
Wanapewa asilimia ngapi ya mapato?
 
Back
Top Bottom