Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
We hujui kiingereza. That's why you think that lady can speak english. She can't speak english. Perhqps some shit only which you think it is english. When you learn english you will understand that "she can't speak nothing"Zuchu some how anajua kingereza tena kibongo bongo anaflow vizur Sana , sjui Kwa nn anashindwa kuimba na kutunga nyimbo za kingereza , kimataifa kutoboa bila nyimbo za ngeli ni ngumu .... Ukweli nyimbo zake nyingi ni za waswahili tena walio poorly educated ndo wanazipenda na wengi wao wamerundikana East Africa....
Soko la mziki Tanzania bila ubishi limeanza kukua lakini kutoboa kimataifa huwez kuikwepa international language .... Namuona Nia anayo na upepo anao akubali kujifunza zaidi one day atajaza