Daah aiseeeee ,,, kwi kwi kwi""Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo
View attachment 2421250
Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia
Aftatu imeadimika mtaaniApewe aftatu
Nani kasema...?Aftatu imeadimika mtaani
Yule mwanzilishi wa Aftatu analalamika kwamba zimeadimikaNani kasema...?
Dah aiseee...Yule mwanzilishi wa Aftatu analalamika kwamba zimeadimika
Hata apige Show 100000 .. Asilimia kubwa zinaenda kwa Boss wake... Yeye anabaki na Hela za Kula na KulalaKatika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo
View attachment 2421250
Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia
Marekani mwanamuziki wa kike anaeweza jaza angalau kiasi ni huyu mtoto Abby Chams tu, Vanessa mdee nae engeweza ila alikata tamaa mapema.Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo
View attachment 2421250
Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia