Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Si alisema yeye level zake ni kubwa za kushindanishwa na akina mondi!! Analia nini sasa?
Daaah aiseee... Hvi pale atakua amepata hasara au ni nusu kwa nusu...πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Daaah aiseee... Hvi pale atakua amepata hasara au ni nusu kwa nusu...πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
🀣🀣🀣🀣 Atajua mwenyewe. Apambane tu japo hata mimi sizielewi nyimbo zake.
 
🀣🀣🀣🀣 Atajua mwenyewe. Apambane tu japo hata mimi sizielewi nyimbo zake.
🀣🀣🀣🀣 Wee mtata mtata tuu.. wee unaelewa za nani...?
 
Danganya mafala
 
[emoji16][emoji16]
 
Watanzania Wengi Tuuu show Zao Marekani zina Doda ila tofauti yao na Zuchu ni kuwa Zuchu Kakubari kuwa Ameshindwa na Yeye Marekani bado Sana. Huo ni Mwanzo Mzuri kwake akirudi baadae haitakuwa hivyo tena.

Wasanii wengi watanzania Wakienda Marekani huwa hawataki kukubali kuwa show zai hazikujaza, Ila Zuchu amekubali mapungu na amechukulia kama sehemu ya Kujifunza
 
Zuchu kawa mkweli , ni ukweli mchungu Sana , huwez kulitatua tatizo Kwa kuvunga kama halipo , lazima ukubali uwepo wa tatizo ndo utapata nguvu za kulishughulikia
 
Sheikh una mkwara hatari, na hapa kuna watu utawaokota ujue
 
Zuchu kawa mkweli , ni ukweli mchungu Sana , huwez kulitatua tatizo Kwa kuvunga kama halipo , lazima ukubali uwepo wa tatizo ndo utapata nguvu za kulishughulikia

Hata mwanetu hua anajua wazungu masnitch sana anaamua kubeba na unga wa ugali na dagaa ili show ikiroga anafanya harakati za kusonga ugali huku ibra anakatakata nyanya na vitunguu
 
Hata mwanetu hua anajua wazungu masnitch sana anaamua kubeba na unga wa ugali na dagaa ili show ikiroga anafanya harakati za kusonga ugali huku ibra anakatakata nyanya na vitunguu
View attachment 2422404
Kuna kila dalili asingeenda US tour asingemnyea diamond airport 😁😁😁😁 itakuwa walimvuruga sana kule ,
 
No sija view hata video yenyewe

Hapa nina MB chache nishazipigia hesabu zinivushe mpaka juma 5

Na budget yangu kwa mwezi nimeipunguza mpaka hiyo 2023 ambapo Elon Musk atakuja kufanya investments za internet
Basi usijudge sasa kumbe hata data huna
...utakuwa sio critic utakuwa hater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…