Mimi nimeuliza sija judge kama nina uhakikaBasi usijudge sasa kumbe hata data huna
...utakuwa sio critic utakuwa hater
Mkuu una mioyo mingapi? Usimpe mpe mtu moyo utakufa!!
Acha kuita binadamu mzoga[emoji21][emoji21]Chibu nae kwa mizoga hajambo. Hv kampendea nn huyu kiumbe?
Hujafa hujaumbika kijana. Hivi umejiona una thamani kiasi gani mbele ya Mungu hata ukamwita mwenzako mzoga?Chibu nae kwa mizoga hajambo. Hv kampendea nn huyu kiumbe?
ohh kwikwi nitaliaaaa ahhaahhahahhaMagufuli ai, ai ai ai
We hujui kiingereza. That's why you think that lady can speak english. She can't speak english. Perhqps some shit only which you think it is english. When you learn english you will understand that "she can't speak nothing"
We kilaza. Kosoa hata maneno mawili hapo. Maana nyie ambao hamjui kiingereza huwa mnaona huu uchawi. Ukinionesha makosa mawili tu hapo ntaomba nipigwe ban. Maana umekariri hayo maneno hata hujielewi maskini.Mkuu ungeongea kiswahili tu kuficha aibu ndogo ndogo kama hizi
Wazungu au waswahili kutoka Africa!?inawezekana 100% hakuitangaza vizuri show yake kama wenzie wanavyofanya. wenzetu wanaija wakienda ughaibuni wanapromote sana shows zao kwenye billiboards na radios za majiji ya kule.
btw zuchu hana sauti hiyo ya kusema wazungu wajae wamtazame.
She is just being Real. I see no problem with that.You dont talk of your failure in social media, thats just wrong for a star
Wizkid ticket zake zmekuwa sold out
Madison Square
Barnaboy naye alifanya hivyo wimbledon, sasa hawa kwetu wanaenda kufanya show kwenye malodge sjui vi Hall..
sinza pazuri
Ova
Moyo una vyumba vingapi mkuu [emoji16]hicho kimoja ndio nawapea wengine
Kwani wew cha kwako kiko vip mzee unaweza kukosoa lkn kumbe wewe ni mbovu zaid ,mm naamini hujui na huna kingereza kizuri bali unacho juwa nikuzungumza a very broken englishAsikate tamaa japo hiyo English yake kwenye post imeniacha hoi bin taaban
Kwani wew cha kwako kiko vip mzee unaweza kukosoa lkn kumbe wewe ni mbovu zaid ,mm naamini hujui na huna kingereza kizuri bali unacho juwa nikuzungumza a very broken english
Mkalimani: ndio kingereza kilicho vunjika vunjika sanaa very broken english ndio nini?