Show your hand writing (Mwandiko)

Inaonekana speed yako ya kuandika ni ndogo sana. Na ukiongeza speed huenda muandiko ukabadilika naangalia herufi zako zilivyo na madoido. Mfano kana una maandishi mengi kama daftari za notes tuma tuone.
Hii sio kweli
Mfano mimi mwandiko wangu unaonekana kama ni wa kuremba sana,lakini huwa siandiki taratibu....tena nikiandika haraka ndio naonekana kama nimeremba zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…